Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho nick name yake sasa ni "lossing possion on his final third"
Lile goli alilokosa Konnect likagonga mwamba ni baada ya Jorginho kizembe kabisa kupoteza possesion kwenye eneo la hatari. Hii imekuwa ni kawaida yake na kocha anaona sawa, kapewa mahela mengi asajili halafu anaacha na kuendelea kumtegemea Jorginho ambaye enzi yake imeisha kabisa
Goal la Sancho dhidi ya Chelsea ilikua ni Jorge's fault, goal la emilwa totenham juz ilikua ni Jorge's fault, missed goal by conert juz ilikua ni Jorge's fault, own goal dhidi ya Man City.
Mi machache nnayokumbuka kuhusu utumbo wa Jorginho, mwanetu akiwepo Kwa ground Chelsea tunatulia sana na mpira ila lazima atachoma.
Nadhan muda system nzima ya kucheza itakapobadilika ndipo Chelsea tutamuacha Jorginho lakn Kwa Sasa ni ngum sana.
Sorry sio mwandishi mzuri though 😂😂

na jana Jorginho ndie aliekufingisheni ama?
 
“The balance isn’t quite there, the combinations aren’t quite clicking and working at the moment,” former Chelsea player Andy Townsend said on commentary for talkSPORT 2.

“Tuchel looks like he’s fighting with the squad at the moment and doesn’t really know which one is the best way forwards.”
 
Je sterling angefunga ungeongea hiyo kauli?
"Nge" sio muhimu, nafikiri first opportunity ndio what mattaer in life and in football. Labda kwa sababu mimi binafsi sikuona na pia bado sijaangalia replay ila natambua pia kama Auba hakuwa kwenye better position zaidi ya Sterling basi atakuwa yuko sawa. Ila kama nafasi yake ilikuwa better kama ya Sterling atakuwa amefanya makosa kwa sababu niliyosema, "First opportunity in life is what matter the most"
 
Na angekosa ungesema ni mbinafsi
 
Sasa hata kama wamekosea,ashindwe kuwasema ili kuwarekebisha?
Mbona hata Pep huwa anawaambia wachezaji wake wakiharibu.. anasema wazi kuwa timu imecheza hovyo,na hapo unakuta alishinda!.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watu wanashindwa kuelewa hicho kitu, pep kuna mda mpka anatupa machupa ya maji. Au waangalie zile documentary za arsenal na city za amazon, waone jins arteta o pep wanavyofoka
 
Me bado naamini tuchel ni mtu sahihi, maana yeye sio wa kwanza kupitia hali hii,
Tutafukuza makocha anaperform 1season then next season cycle inajirudi tunaona shida ni kocha, kumbe shida ni wachezaj kujihisi ni mafather.
Bado namuona tuchel.akiendelea kuwa kocha wetu.

Premier league ya sasa inahitaj consistence ili uwin na sio ucheze game 3 vizuri kumi hovyo.
 
Watu wanashindwa kuelewa hicho kitu, pep kuna mda mpka anatupa machupa ya maji. Au waangalie zile documentary za arsenal na city za amazon, waone jins arteta o pep wanavyofoka
Pep vijana wake wanaenda HT wakiwa mbele kwa bao tatu...aila huko Dressing room aliwagombeza sana kuwa hajaona mpira waliocheza.
Wangekuwa hawa vijana wa Chelshit si wangetamani kujinyonga kabisa.
 
Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
 
Itamcost before December sio?
 
Chelsea imemfuta kazi Kocha Thomas Tuchel baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha tangu kuanza kwa msimu huu

Chelsea ni ya 6 katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa imecheza michezo 6 na kupoteza miwili huku ikianza vibaya Klabu Bingwa Ulaya kwa kufungwa na Dinamo Zagreb

Tuchel aliwasili Stamford Bridge mwaka wa 2021 kuchukua nafasi ya Frank Lampard na kuanza vema kwa kushinda Klabu Bingwa Ulaya ndani ya miezi 6

====
Taarifa ya Klabu 👇🏾

OFFICIAL: Chelsea part company with Tuchel

CgAGVmMYX-mAHGWqAAII6knxd8g749.jpg.webp

Chelsea:
On behalf of everyone at Chelsea FC, the Club would like to place on record its gratitude to Thomas and his staff for all their efforts during their time with the Club.

Thomas will rightly have a place in Chelsea’s history after winning the Champions League, the Super Cup and Club World Cup in his time here.

As the new ownership group reaches 100 days since taking over the Club, and as it continues its hard work to take the club forward, the new owners believe it is the right time to make this transition.

Chelsea’s coaching staff will take charge of the team for training and the preparation of our upcoming matches as the Club moves swiftly to appoint a new head coach.

There will be no further comment until a new head coach appointment is made
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom