PEP anachofanya kwa sasa, mchezaji akishagundua hayuko happy anamruhusu kutoka mapema au kufagia
Arteta alichafanya kwa AUBA ilikuwa ni hii hii, AUBA aliacha kuwa happy na akaonekana ni sumu kwqenye dressing room
Alipoondolewa Auba timu ikarudi kuwa na matokeo
TT alichokosea na bado anakosea ni kuwasema vibaya wachezaji wasioendana na utaratibu na maelekezo yake ya uchezaji kama akina Ziyech, Werner, Lukaku na wengineo badala ya kuwaondoa mapema bila ya kuwasema
Wachezaji wanakuwa kama familia moja pale dressing room. ukimnyanyasa mmoja wote wanachukia na wakichukia matokeo yake ni kwenye mechi utaona cha mtema kuni