Nyie cheltako a.k.a chelwowo ni makenge kweli wapuuzi watupuStress mbaya sana, inaonekana hili Jamaa lilikuwa limekaribia kujinyonga leo hii ikiwa Arse8 asingeshinda![]()
Siku ya leo tumejingea jitu 4Siku kama ya leo tulichakata aserno goli sita bila
Leo kutoka maktaba
View attachment 2194915pole sanaVs Asenyani
---------WERNER ----- KAI ----- MOUNT ------------
ALONSO ---- KANTE --- CHEEK -------- JAMES
----- RUDGER ------ SILVA --- CHRISTENSEN---
Werner:- amekuwa kwenye kiwango bora sana, aendeleze moto wa assist + goals.
Cheek:- Leo apige pass na dribbling zake kwenda mbele na kuungana na Werner, Kai, Mount kwenye kushambulia.
Leo ni mechi ya kuonea dagaa
Point 3 muhimu.
Au sioUnasema Arsenal amfunge Chelseafc? au sijakuelewa vizuri,ebu kuwa seriously unaona nikitukinachowezekana!.
