There are 4 bids that appear to have the inside track:
Investors assembled by LA Dodgers co-owner Todd Boehly
A bid led by the Ricketts family
Group involving Sir Martin Broughton, Josh Harris & David Blitzer
An offer from NY Jets owner Woody JohnsonHawa kina Rickett Family mashabiki hawawakubali kabisa kwababu ya matukip yaoThere are 4 bids that appear to have the inside track:
Investors assembled by LA Dodgers co-owner Todd Boehly
A bid led by the Ricketts family
Group involving Sir Martin Broughton, Josh Harris & David Blitzer
An offer from NY Jets owner Woody Johnson
(Athletic)
Inakuaje kwa wale waarabu?Hawa kina Rickett Family mashabiki hawawakubali kabisa kwababu ya matukip yao
Saudi hawapewi chapuo km watashinda, inavyoonekana mmiliki mpya atatokea usa or uk tho lolote linaweza tokeaInakuaje kwa wale waarabu?
UBAGUZI WA KIDINIHawa kina Rickett Family mashabiki hawawakubali kabisa kwababu ya matukip yao
Watakuwa wamewaonea kwasababu hao wa waarabu ndio wametoa bid kubwa kuliko matajiri wote wanaotaka kuinunua ChelseaSaudi hawapewi chapuo km watashinda, inavyoonekana mmiliki mpya atatokea usa or uk tho lolote linaweza tokea
Mbona New Castle wamepewa kununuaMwaka 2010 wakati Liverpool inauzwa Matajiri wa Saudi Arabia walikataliwa Offer zao na sababu kubwa waliyotoa Waingereza ni "Saudi Arabia's human rights record and accusations of TV piracy".
Nadhani sababu hiihii ndiyo inayopelekea hao waarabu wasipewe kipaombele kwenye kuuziwa Chelsea.
UK wanategemea mafuta/petrol kutoka saudi, na juzi juzi hapa Boris alitoka huko, na akawaambia anawakaribisha wasaudia uk waje wawekezeSure urafiki wa USA na UK kwa mwarabu ni wa kinafiki, kimaslahi ya biashara.
Mwarabu ni mnunuzi mkubwa wa silaha za USA.
USA na UK hawaridhishwi na Saudi kunyonga raia wanaomkosoa ila kwa sasa wapo nae kibiashara zaidi.
Ipo siku rungu litamwangukia
Juzi Sheikh Mansoor amenyooshewa kidole na UK kwa kufanya ziara Syria
PointUK wanategemea mafuta/petrol kutoka saudi, na juzi juzi hapa Boris alitoka huko, na akawaambia anawakaribisha wasaudia uk waje wawekeze
Shida ni mafuta, unahisi uk leo hii akizima uhusiano na saudi or falme za kiarabu mafuta atatolea wapi,
Ye mwenyewe ndip mdhamin mkubwa wa vita vya yemen
Kweli mkuuu nimekuelewa kwa sauti ya juuu sanaHayo mengine hatuwezi kuwa na majibu yake ila tutosheke na kile kinachoonekana kwenye macho yetu.
Emre Can, Ozil na Guandogan hawa Wote ni Waturuki waliohamia Ujerumani na wote walipiga picha na Raisi Erdogan lakini lawama na kutengwa akafanyiwa Ozil pekeyake huku Emre na Guando wakiendelea kupeta.
So, Wazungu wanachokifanya wanakijua wenyewe pale wanapokutafutia sababu.
Process yake ni ndefu siyo sawa nakuuza shamba inachukua siyo chini ya siku 30 au zaidi.Chelsea mbona haiuziki?
Viroho vyetu viko juu. tunataka kujua ili tujue kama tuanze kuishi kwa matumaini au la. Kwa Abramovich tulikuwa na ubabe sasa huko tunakokwenda sijui ubabe utaendelea au ndio mwisho wakeProcess yake ni ndefu siyo sawa nakuuza shamba inachukua siyo chini ya siku 30 au zaidi.