Kutokana na Arsenal ilivyo nazani pale mbele aanze Lukaku badala ya Kai itakuwa vizuriVs Asenyani
---------WERNER ----- KAI ----- MOUNT ------------
ALONSO ---- KANTE --- CHEEK -------- JAMES
----- RUDGER ------ SILVA --- CHRISTENSEN---
[emoji117] Werner:- amekuwa kwenye kiwango bora sana, aendeleze moto wa assist + goals.
[emoji117] Cheek:- Leo apige pass na dribbling zake kwenda mbele na kuungana na Werner, Kai, Mount kwenye kushambulia.
[emoji117] Leo ni mechi ya kuonea dagaa
[emoji117] Point 3 muhimu.