Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Hatimae yametimia
Ngoja waje
Hatimae yametimia
Ingawa sitegemei Hilo lakini mpira hauna adabu unaweza kufungwa pale usipotegemea! Hivi Arsenal itokezee Akubahatishe akupige je leo utajisikiaje kina WillJr na Castr watakapojazana hapa?
Saiz mnawatukana tena?Pale hakuna kocha pale hana mbinu za kufundisha simuoni msimu ujao maaana ni kocha mjinga kabisa hajui kuchagua kikosi hovyo kabisa malng sarr' Christian Lukaku azplicueta naona kma timu ya Chelsea imeoza hata mendy nae hanisi anahitaji ssa kukaaaa bench
[emoji2960][emoji2960][emoji16][emoji16][emoji16]Kenge hawa umbwa nyie
Nyumbu na Arse8 wote mmehamia humu kujifariji nakati inaeleweka kabisa top four 20021/2022 ni timu gani [emoji851]Ze blauzi Kengez
Stress mbaya sana, inaonekana hili Jamaa lilikuwa limekaribia kujinyonga leo hii ikiwa Arse8 asingeshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenge hawa umbwa nyie
Chukulia hili nalo lina familia tena linaulamba kabisa mkanda nnje lakini kichwani daaah....[emoji4][emoji2960], kwa akili hizi CCM iendelee kukaa madarakani TZ milele [emoji38]Bao mbili za mwanzo mkajifanya wajanja
Kipindi cha pili vijana wakapaka vumbi mamaaeeee
Tumewafunga mara 29 kabla ya mechi ya leo.Tupo mzee. Sema huwa mnabahati na Chelsea. Nawapa salute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jamani.Kuna timu za mpira hafu hii kongolo fc ni majanga.View attachment 2194714
Tuchel haondoki hapo kamwe! Mpaka wewe na ukoo wenu mfe muishe na kusahaulika kabisa duniani ili aendelee kuwakalia kileleni EPL kama sasa hivi na kujaza vikombe kabatini [emoji1787][emoji28]Utumbo huu mpira umeisha washinda!
Third consecutive home defeats
1-4 against Brentford
1-3 against Madrid
2-4 against Arsenal
Tuchel has to go,anabahatisha tu
Blue Kengez 😂😂😆😆😂😂😂😂😂😆😆😆London is blue mpauko 😁😁
Utumbo huu mpira umeisha washinda!
Third consecutive home defeats
1-4 against Brentford
1-3 against Madrid
2-4 against Arsenal
Tuchel has to go,anabahatisha tu
Kaa kwa kutulia binti wa kitangaChukulia hili nalo lina familia tena linaulamba kabisa mkanda nnje lakini kichwani daaah....[emoji4][emoji2960], kwa akili hizi CCM iendelee kukaa madarakani TZ milele [emoji38]