Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,382
- 77,255
Basi tumefuta magoli yake mawili.Huyu Nketiah alikuwa ni academy wa Chelsea tangu akiwa na miaka 8 Chelsea wakamuachia aondoke akiwa ba miaka 16 bure bure labda Chelsea hawakuona viable talent kwake. Sasa wachezaji kama hawa wakija darajani watahitaji kuprove kuwa wanaweza na hawakutendewa haki huko nyima
Mechi ni suluhu 2 - 2