Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mdogo ni mdogo tu kwa braza wake haijalishi katoboa maisha au ana elimu kubwa


Arsenal is a brother, timu ya 2002 mtupigie makelele sisi!!!!
Pumbavuuuuuuuuuu........
 
Mdogo ni mdogo tu kwa braza wake haijalishi katoboa maisha au ana elimu kubwa


Arsenal is a brother, timu ya 2002 mtupigie makelele sisi!!!!
Pumbavuuuuuuuuuu........
Unaukubwa gani kenge wewe, na ukubwa wako umefanya kitu gani cha maana kumzidi huyo unayemsema kuwa ni mdogo, London siku zote ni bluu tunjoo mniuwe niko home.
 
We jamaa ni mpuuzi sana,ndio mana nakuonaga huna akili vizuri. Sasa huyo Nketiah ana talent gani? kw kufunga magoli kw makosa ya mabeki kugongana gongana ndio afunge. Na angepiga pasi kama ile ya modric au ile y Mane. Ungesemaje.

Arsenal wametufunga sababu ya ubwege wa Tuchel. Yule kocha sometym ni mduanzi sana. na masikio yake kama amepulizwa na upepo.
Meza mate, kunywa maji kiasi alafu tulia.....

London is RED.
IMG-20220421-WA0113.jpg


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 

Chelsea takeover: Lewis Hamilton and Serena Williams join Sir Martin Broughton consortium

Sir Martin Broughton is leading one of three remaining bids for Chelsea after Roman Abramovich put club up for sale; Lewis Hamilton and Serena Williams understood to have committed £10m each to bid; Steve Pagliuca and Todd Boehly also head consortiums in race to buy club

Lewis Hamilton and Serena Williams are committing millions of pounds to one of the bids vying to become the new owners of Chelsea.

Sky News can exclusively reveal the full line-up of investors backing the takeover offer for the club being spearheaded by Sir Martin Broughton, the former Liverpool and British Airways chairman - the most prominent of whom are the seven-times Formula 1 world champion and the former women's world tennis No 1.


Sources close to the group said that Hamilton and Williams - the highest-profile members of any of the three remaining consortia - had pledged an estimated £10m each to the bid.
1650540554351.png


1650540742967.png

Sir Martin Broughton, the former Liverpool and British Airways chairman
 
Thom akaona beki iko hovyo akamuingiza Silva ili kukomelea ulinzi.

Arteta akafanya nini? Akawawekea wimbo wa Kanyaga wa Diamond, katika dakika 15 za mapumziko 10 zimetumika kusikiliza huo wimbo.
Naona leo angalau mmepata haueni ya kufanya sherehe
 
We jamaa ni mpuuzi sana,ndio mana nakuonaga huna akili vizuri. Sasa huyo Nketiah ana talent gani? kw kufunga magoli kw makosa ya mabeki kugongana gongana ndio afunge. Na angepiga pasi kama ile ya modric au ile y Mane. Ungesemaje.

Arsenal wametufunga sababu ya ubwege wa Tuchel. Yule kocha sometym ni mduanzi sana. na masikio yake kama amepulizwa na upepo.
Mwamba kwenye Hili nakuunga mkono
 
In theory ni kwamba Arsenal na Spurs wana nafasi ya kuifikia nafasi ya tatu.
 
Hawa wajinga wakifungwa 5 na West Brom hawana tatizo.

Wakifungwa nne na Brentford hawana tatizo.

Wakifungwa na Arsenal kikosi ndiyo kinaonekana hakifai, Tuchel out, Lukaku hafai agawiwe bure.

Na yule jamaa atakuja na uchang'ombe wake akielezea utumbo mpya.

Mkuuu mbona tumekubali mmeshinda bila tatizo. Uwanjani timu zinapoingia wote wanakuwa na lengo moja kupata point tatu au alama 3.

Ukizidiwa mbinu mwenzako anakuadhibu na kukunyanganya point zote 3.

Ukiwa sawa kimbinu basi mbagawana point moja moja.

Jana arsenal wametuadhibu baada ya makosa yetu ina maana walituzidi mbinu. Mimi nawapa solute kwa ushindi.

Mara nyingi arsenal inapokutana na Chelsea hata ikiwa ovyo kiasi gani lakini arsenal wanakuwa mwiba kwa Chelsea yaani wanabahati sana kuwa funga Chelsea. Hongereni sana the gunner.

Niwatakie kila la kheri na mechi yenu na Man u. Maana viraza mnaenda kukutana wenyewe kwa wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom