Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmeshachana mkeka wangu ,kenge nyie

20220412_232713.jpg
 
Tuchel kazingua sana leo na hiki kikosi
Pale hakuna kocha pale hana mbinu za kufundisha simuoni msimu ujao maaana ni kocha mjinga kabisa hajui kuchagua kikosi hovyo kabisa malng sarr' Christian Lukaku azplicueta naona kma timu ya Chelsea imeoza hata mendy nae hanisi anahitaji ssa kukaaaa bench
 
Tumetoka kushindwa mechi mbili mfululiza pale darajani, Arsenal hawataweza kutufanya kichwa cha mwendawazimu
Kuwafung ni lazima hakuna namna nyingine
  • Uwezo tunao
  • Sababu tunayo
  • Nia tunayo
  • Imebaki kazi moja tu
  • Ni kumpiga huyo nduli

Kwenye huu Uzi wewe ndiye Mtu pekee unayejua mpira lakini hapa umeniangusha.

Chief umetanguliza hisia kuliko uhalisia.
 
Pale hakuna kocha pale hana mbinu za kufundisha simuoni msimu ujao maaana ni kocha mjinga kabisa hajui kuchagua kikosi hovyo kabisa malng sarr' Christian Lukaku azplicueta naona kma timu ya Chelsea imeoza hata mendy nae hanisi anahitaji ssa kukaaaa bench
Kweli kabisa sijui alikuwa anawaza nn kutupangia takataka zile
 
Labda itokee team yetu wameingia wakiwa wamepiga mbususu zakutosha na ulanzi lakini tofauti na hapo hakuna namna Unaweza kusema Arsenal anapata matokeo dhidi ya Chelsea

Sasa TT ameamua kuwapa wachezaji wake Mbususu?
 
hii mechi Chelsea kufungwa mashabiki wa Man United ndio tumeumia zaidi kuliko hata wavaa Blauz wenyewe.
Cheltako leo kazi yenu ilikua ni kuikatikia na kuifinyia kwa ndani tu matakataka nyieeeee.
 
Tuche= Tufe,na kweli mmefariki poleni sana tunzeni hasira zenu mtazimalizia kwa wale kuku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom