Club supporter trust walikanusha hiliTery na Claire (mchezaji wa zamani wa timu ya wanawake) wajiunga na True Blue Consortium wenye nia ya kununua asilimia 10 ya shares za Chelsea kwa ajili ya mashabiki. Wanaungwa mkono na Stamford Bridge freeholders, Chelsea Pitch Owners, and the club's supporters' trust.
Barcelona baada ya usajili mdogo wa January wameimarika sana, angalia performance yao baada ya January. Aub, Tores, Dembele wamekuwa mwiba kwa timu nyingi. Kila mechi Dembele amekuwa mtoa assists mkubwa.Hii madrid inaukuta mbovu, kama imefungwa nne na waliojifia barcelona. Kwetu watakula 8.
Ila Dembele anapoteza sana mipira hana tofauti na Warner wetu au Mount, pia mardrid walipigwa vizuri kwasbb walikosa Bezema wakuwasumbua mbele BarcelonaBarcelona baada ya usajili mdogo wa January wameimarika sana, angalia performance yao baada ya January. Aub, Tores, Dembele wamekuwa mwiba kwa timu nyingi. Kila mechi Dembele amekuwa mtoa assists mkubwa.
Hatuna shida ndogo ndogo sie
Kwamba Benzema angekuwepo angeficha madhaifu ya ule uchochoro Nacho?Ila Dembele anapoteza sana mipira hana tofauti na Warner wetu au Mount, pia mardrid walipigwa vizuri kwasbb walikosa Bezema wakuwasumbua mbele Barcelona
NICK CANDY has "significantly increased" his Chelsea bid from £2bn to over £2.5bn, according to reports.
Aiseee hii Ng'ombe nimeanza kuichukia.NICK CANDY has "significantly increased" his Chelsea bid from £2bn to over £2.5bn, according to reports.
Ndio yeye. Yani huyu huenda akaleta uingereza wake pale,Huyu Nick Candy si ndiyo aliyesema. Lampard alifitwa kazi mapema sana au siyo yeye. Tafadhali naomba kufahamishwa