lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,485
Tukifanikiwa kuuza kwa nini isiwezekaneSioni tukifanya sajil za kufika 300M
Hapa tufanye sajil za makini tu, tusikomalie wc player, tuwe tunaangalia na wachezaj wanaondan na style ya tuchel, wachezaj wako wengi tu wamaana
Sajil za hela nyingi kwetu zimekuwa zikiishia kuwa flop,
Tutafanye usajil kwa umakin na sikwamihemko
Hao wakina bakayot,barkley,kennedy etc hawa wote ni wakuuza
Tunaonekana tunakikosi kikubwa ila kimejaa takataka na si quality
Unless kama Chelsea wakiamua kuwang'ang'ania hizo takataka
Twendeni Fainali