Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hili kombe huwa linachukuliwa na na mtu ambaye hategemewi kabisa .....
Keep watching
Unaweza kutoa mfano?
Hili kombe huwa linachukuliwa na na mtu ambaye hategemewi kabisa .....
Keep watching
Man city vs Chelsea. % kubwa alitabiriwa Man city ndo atachukua kombe,Mategemeo yakageuka.CHELSEA AKACHUKUA.Unaweza kutoa mfano?

Dogo anafaa kwa style yetu ya uchezaj ila sion tukimsajil, sioni tukitoa 60-70MChelsea want to sign Darwin Gabriel Núñez Ribeiro
Full Name: Darwin Gabriel Núñez Ribeiro
Country: Uruguay
Current team: Benfica
Age: 22
Position - Striker
Goals scored so far in 2022 season all comps: 33
Huyu ni mmoja wapo ya walioreport, reason kubwa ni kwenye share splitNadhani sources za habari yako sio realistic au umeelewa vibaya, I belief main reasons iko kwenye masharti waliopewa kutokana na second round bids, masharti mojawapo nilisema mwanzoni wataconsider kipima joto ya mashabiki. Success ya timu ya mpira iko kwa mashabiki. mashabiki wasiporidhika na timu yao wataadhiri hadi mapato. Hii reason hawawezi kuweka wazi kwa sababu ina maslahi ya kibiashara. Ricket Family wameshindwa kukubaliana submission ya bid yao although reasons are hiden but mainly ni aibu ya kukataliwa kwa sababu ya hiyo kipengele cha mashabiki - still guassing but muda unavyokwenda utaniprove wrong
Statement yao waliotoa ni hii hapa, maelezo mengine zaidi ya hii ni interpretation tu:
“In the process of finalising the proposal, it became increasingly clear that certain issues could not be addressed given the unusual dynamics around the sales process.
.bila umakini WA kutosha itapotea pesa nyingine km Kwa Lukaku na kuishia kuwa laughing stock....Bora tuimarishe maeneo mengine Kwanza kama mrithi WA Kante, back up za James n chilwell,na central defenders...pmj na hata winger mmoja .. striker tumrudishe hata broja km mambo yakiwa magumu kumpata striker WA maana...na tuuze au kutoa Kwa mkopo fringe playersChelsea want to sign Darwin Gabriel Núñez Ribeiro
Full Name: Darwin Gabriel Núñez Ribeiro
Country: Uruguay
Current team: Benfica
Age: 22
Position - Striker
Goals scored so far in 2022 season all comps: 33
Uza wafuatao.bila umakini WA kutosha itapotea pesa nyingine km Kwa Lukaku na kuishia kuwa laughing stock....Bora tuimarishe maeneo mengine Kwanza kama mrithi WA Kante, back up za James n chilwell,na central defenders...pmj na hata winger mmoja .. striker tumrudishe hata broja km mambo yakiwa magumu kumpata striker WA maana...na tuuze au kutoa Kwa mkopo fringe players
One of my dream siku nifike stamford bridgeSteve Pagliuca: "Chelsea is a world-class team, in a world-class city, with world-class fans: it deserves a world-class stadium."
Timu ina rundo wa wachezaji wengine daah wapo wapo tu wanakula mishahara.Marina akiendelea na utendaji baada ya mmiliki mpya, sidhani kama Marina atakubali hii hasara uliyoianisha hapa:-
1. Jorginho uza hata mil 30
Hapa tunapata 50
2. Pulisic uza hata mil 50
Hapa tunapata 65
3. Christensen - asepe bure
4. Lukaku uza hata mil 70
Hapa tunapata 80
5. Saul arudi kwake
6. Azpilicueta asepe bure
Hapa tunamuongezea mwaka 1
7. Kepa uza hata mil 40
Aendelee kubaki stanford akisaidiana na Mendy, labda aamue mwenyewe kuondoka. Akiondoka hatukosi 60
8. Emerson auzwe mil 15
9. Sarr uza hata mil 20
10. Barkley uza hata mil 10
11. Kenedy uza hata mil 5
12. Bakayoko uza hata mil 10
Hapa tunapata 35
13. Billy Gilmour uza hata mil 10
Hapana aendelee kubaki kwa mkopo
14. Ethan Ampadu uza hata mil 15
15. Michy Batshuayi uza hata mil 5
Hapa tunapata 20
16. Baba Rahman uza hata mil 5
17. Matt Miazga uza hata mil 5![]()
Timu itachezaje bila kuwa na DM? Without a DM how can you control games off the ball? Kama kuna CM kati ya hao watatu anafanya defensive chores ili kucontrol game off the ball basi inabadili maana nzima ya yeye kuwa CM instead anakuwa DM, tactical excution ndio inaleta maana ya mpira sio kitu unakiona kwenye karatasi unadhani kinaenda hivyo, ndio maana nasema angalia mpira in a real sense usiandike vitu idealistic.Hakuna mifumo am,bayo ni idealist ndg.
Labda uniambiue inategemea falsafa ya kocha na uwezo wa wachezaji waliopo ndani ya disposal yake
Mfano unaweza kuwa na wachezaji wenye uwezo wa kushambulia na kudefense hao wote lazima watacheza kama CM kwa sababu CM haikuzuii kudefense. Kwanza mpira wa kisasa kila mcheza anatakiwa kujua kudefend hasa wakati wa kuzidiwa
So kuwa na CM wote it is normal provided wachezaji ulionao ndio capacities zao hizo. Huwezi kulazimisha kuwa Holding midfield mmoja wakati hayupo wa kufanya hiyo kazi. Chelsea tunapata shida hiyo kwa sababu Kova hawezi kuwa Holding MF, Jorgninho ndio kabisa, Labda Kante naye kwa uzee wake hawezi tena
Hizo mifumo zinazidiana kulingana na popularity yake lakini kusema idelaist ni kukufuru soka
For me 4231 na 433 ni kitu kile kile
Mfumo mama ni 433
433 ina zaa 4-2-3-1, 4-3-2-1, 4-1-3-2
Mrithi WA Kante naona ni muhimu pia hao kina Declan au tchouamenUza wafuatao
Rudisha
- Jorginho uza hata mil 30
- Pulisic uza hata mil 50
- Christensen - asepe bure
- Lukaku uza hata mil 70
- Saul arudi kwake
- Azpilicueta asepe bure
- Kepa uza hata mil 40
- Emerson auzwe mil 15
- Sarr uza hata mil 20
- Barkley uza hata mil 10
- Kenedy uza hata mil 5
- Bakayoko uza hata mil 10
- Billy Gilmour uza hata mil 10
- Ethan Ampadu uza hata mil 15
- Michy Batshuayi uza hata mil 5
- Baba Rahman uza hata mil 5
- Matt Miazga uza hata mil 5
- Jumla hapo tunayo mil. 290
Ongeza
- Broja
- Gallagher
Tumsajili game changer striker kama Darwin mil 60
- Harvey Vale
- Lewis Hall
Tuwasajili mabeki wanne wazuri
2 CBs - 120
2 FBs - 120
Jumla ya manunuzi mil 300 (Kumbuka tunayo ya mauzo ya mil 290) biashara imekwisha
Hapo tutakuwa tuko tayari kugombania kombe lolote hadi mwisho kama ilivyo Man city na Liverpool
Kwa maoni yangu tuache kwanza viungo tunao wengi sana
Winga pia wako wengi na kwa mfumo wa TT mara chache sana winga wanahitajika
- Kovacic
- Kante
- RLC
- Mount
- Gallagher
- Havertz
- Ziyech
- Werner
Wako hadi akina Drinkwater ila mkataba wake utaisha June 30 mwaka huuTimu ina rundo wa wachezaji wengine daah wapo wapo tu wanakula mishahara.
Pruning inahitajika tubaki na kikosi chenye tija
Ndg kumbuka umri wa wachezaji na pia timu nyingi bado zina ukata kwa sababu ya COVID-19Marina akiendelea na utendaji baada ya mmiliki mpya, sidhani kama Marina atakubali hii hasara uliyoianisha hapa:-
1. Jorginho uza hata mil 30
Hapa tunapata 50
2. Pulisic uza hata mil 50
Hapa tunapata 65
3. Christensen - asepe bure
4. Lukaku uza hata mil 70
Hapa tunapata 80
5. Saul arudi kwake
6. Azpilicueta asepe bure
Hapa tunamuongezea mwaka 1
7. Kepa uza hata mil 40
Aendelee kubaki stanford akisaidiana na Mendy, labda aamue mwenyewe kuondoka. Akiondoka hatukosi 60
8. Emerson auzwe mil 15
9. Sarr uza hata mil 20
10. Barkley uza hata mil 10
11. Kenedy uza hata mil 5
12. Bakayoko uza hata mil 10
Hapa tunapata 35
13. Billy Gilmour uza hata mil 10
Hapana aendelee kubaki kwa mkopo
14. Ethan Ampadu uza hata mil 15
15. Michy Batshuayi uza hata mil 5
Hapa tunapata 20
16. Baba Rahman uza hata mil 5
17. Matt Miazga uza hata mil 5![]()
4231 imefafanua tu 433 in practical player arangement kwamba kutakuwa na striker mmoja mbele nyuma yake wakiwemo winga wawili na katikati CAM huku nyuma kukiwa na DM wawiliTimu itachezaje bila kuwa na DM? Without a DM how can you control games off the ball? Kama kuna CM kati ya hao watatu anafanya defensive chores ili kucontrol game off the ball basi inabadili maana nzima ya yeye kuwa CM instead anakuwa DM, tactical excution ndio inaleta maana ya mpira sio kitu unakiona kwenye karatasi unadhani kinaenda hivyo, ndio maana nasema angalia mpira in a real sense usiandike vitu idealistic.
433 haiwezi kuwa kitu kilekile na 4231
433 ina two #8s.
4231 ina two #6s. moja defensive ingine ni offensive.
Sioni tukifanya sajil za kufika 300MUza wafuatao
Rudisha
- Jorginho uza hata mil 30
- Pulisic uza hata mil 50
- Christensen - asepe bure
- Lukaku uza hata mil 70
- Saul arudi kwake
- Azpilicueta asepe bure
- Kepa uza hata mil 40
- Emerson auzwe mil 15
- Sarr uza hata mil 20
- Barkley uza hata mil 10
- Kenedy uza hata mil 5
- Bakayoko uza hata mil 10
- Billy Gilmour uza hata mil 10
- Ethan Ampadu uza hata mil 15
- Michy Batshuayi uza hata mil 5
- Baba Rahman uza hata mil 5
- Matt Miazga uza hata mil 5
- Jumla hapo tunayo mil. 290
Ongeza
- Broja
- Gallagher
Tumsajili game changer striker kama Darwin mil 60
- Harvey Vale
- Lewis Hall
Tuwasajili mabeki wanne wazuri
2 CBs - 120
2 FBs - 120
Jumla ya manunuzi mil 300 (Kumbuka tunayo ya mauzo ya mil 290) biashara imekwisha
Hapo tutakuwa tuko tayari kugombania kombe lolote hadi mwisho kama ilivyo Man city na Liverpool
Kwa maoni yangu tuache kwanza viungo tunao wengi sana
Winga pia wako wengi na kwa mfumo wa TT mara chache sana winga wanahitajika
- Kovacic
- Kante
- RLC
- Mount
- Gallagher
- Havertz
- Ziyech
- Werner
Sioni tukifanya sajil za kufika 300MUza wafuatao
Rudisha
- Jorginho uza hata mil 30
- Pulisic uza hata mil 50
- Christensen - asepe bure
- Lukaku uza hata mil 70
- Saul arudi kwake
- Azpilicueta asepe bure
- Kepa uza hata mil 40
- Emerson auzwe mil 15
- Sarr uza hata mil 20
- Barkley uza hata mil 10
- Kenedy uza hata mil 5
- Bakayoko uza hata mil 10
- Billy Gilmour uza hata mil 10
- Ethan Ampadu uza hata mil 15
- Michy Batshuayi uza hata mil 5
- Baba Rahman uza hata mil 5
- Matt Miazga uza hata mil 5
- Jumla hapo tunayo mil. 290
Ongeza
- Broja
- Gallagher
Tumsajili game changer striker kama Darwin mil 60
- Harvey Vale
- Lewis Hall
Tuwasajili mabeki wanne wazuri
2 CBs - 120
2 FBs - 120
Jumla ya manunuzi mil 300 (Kumbuka tunayo ya mauzo ya mil 290) biashara imekwisha
Hapo tutakuwa tuko tayari kugombania kombe lolote hadi mwisho kama ilivyo Man city na Liverpool
Kwa maoni yangu tuache kwanza viungo tunao wengi sana
Winga pia wako wengi na kwa mfumo wa TT mara chache sana winga wanahitajika
- Kovacic
- Kante
- RLC
- Mount
- Gallagher
- Havertz
- Ziyech
- Werner