Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Haukuwa mbali ila alikuwa hajajiandaa kuruka.Mpira ulikuwa mbali sana mkuu asingeweza kuufikia.
Ulipigwa kwa kushtukizwa.
Haukuwa mbali ila alikuwa hajajiandaa kuruka.Mpira ulikuwa mbali sana mkuu asingeweza kuufikia.
Mpira haupo hivyo wewe kwenye TV unaona mpira upo karibu ila waliokua uwanja ndo wanajua, huo mpira upo mbali sana alafu piah ulikua na speedHaukuwa mbali ila alikuwa hajajiandaa kuruka.
Ulipigwa kwa kushtukizwa.
Mkuu angalia hiyo video kipande walichoonyesha Kwa nyuma.Mpira haupo hivyo wewe kwenye TV unaona mpira upo karibu ila waliokua uwanja ndo wanajua, huo mpira upo mbali sana alafu piah ulikua na speed
Hii mifumo uliyoweka ni idealistic zaidi huwezi kuwa na CMs watatu uwanjani, namna unavyoposition wachezaji ni muhimu ila muhimu zaidi ni roles zao, huwezi kucheza mpira without a Holding midfieder, alternatively ni Kuwa na DM wawili and that's double pivot inatumika kwenye 4231 rather than 433Variants ya 433 ziko zaidi ya 4 na ktk hizo ni 2 tu zinazotumia CDM aidha katikati au CDM wawili wa pembeni
View attachment 2187811
Naamini mtu kama Ederson au Bekker angeuwahi kuupunguza angle kwa sababu ilikuwa ni long pass. Fuatilia mipira wanavyofanya hasa Alisson BeckerMpira ulikuwa mbali sana mkuu asingeweza kuufikia.
Alonso ni mzitoKumbe Rodrigo alitoka mbali akikimbia, Alonso alimsindikiza, huku akiimba kwa neema tunaingia golini.View attachment 2188174
Goal la Alonso hili
Hakuna mifumo am,bayo ni idealist ndg.Hii mifumo uliyoweka ni idealistic zaidi huwezi kuwa na CMs watatu uwanjani, namna unavyoposition wachezaji ni muhimu ila muhimu zaidi ni roles zao, huwezi kucheza mpira without a Holding midfieder, alternatively ni Kuwa na DM wawili and that's double pivot inatumika kwenye 4231 rather than 433
Dah ngoja tuone ninyi watabe mlobaki mtanange utakuwaje ..sisi Sasa tumebaki watazamaji TU😀😀😀Haukuwa mbali ila alikuwa hajajiandaa kuruka.
Ulipigwa kwa kushtukizwa.
Na timu ambazo hazimsikilizi kocha zinakuwa na matokeo mabaya daima, hatusemi 100% kocha apewe anachotaka. Mfumo wa scouting mpaka kuchukua mchezaji kocha anatakiwa awe na big say, ndivyo ilivyokuwa kwa MOU Chelsea na wachezaji wengio waliofanya vizuri ni wale kocha aliwakubali. KOcha ndie technical persona anayejua timu inauhitaji wa nini na ni nani anaweza kufit kwenye hizo vacancies. Usipomsikiliza kocha so bad timu itaendelea kuwa kama ManureHakuna wala haijawahi kutokea Kocha yoyote Duniani kupatiwa wachezaji walewale kama alivyowataka! Hata Mourinho kipindi ambacho Abramovic aliisapoti Timu kuliko kipindi chochote kile basi alijikuta kaletewa Shevchenko from nowhere mpaka akasababisha ugomvi na Tajiri.
NAKUMBUSHA:
Mwisho wa siku kocha ni mwajiriwa tu hawezi kuwa na Final say kama munavyotaka kuaminishana.
Wamepima maji wakayaona kuwa kina kirefu kuliko walivyofikiri mwanzo. kuinvest kwenye clubu kubwa yenye washabiki wengi huku mkiwa na reputation mbaya za kibaguzi ni ngumu mno. Hata hivyo watakuwa wameshauriwa wajitoe ili kupunguza aibu ambayo wangepata kama wangeendelea hadi watakapokataliwa kwa sababu ya mashabiki wanaopinga ubaguzi. Hata hivyo wamefanya publicity ya nguvu, mimi nilkuwa siwajui hao Ricket Family
Mkuu wameshindwa kukubaliana nani atakuwa na hisa nyingi kati ya gilbert,griffin n rickett family, na si kwa sababu ya tuhuma walizokuwa nazo.Wamepima maji wakayaona kuwa kina kirefu kuliko walivyofikiri mwanzo. kuinvest kwenye clubu kubwa yenye washabiki wengi huku mkiwa na reputation mbaya za kibaguzi ni ngumu mno. Hata hivyo watakuwa wameshauriwa wajitoe ili kupunguza aibu ambayo wangepata kama wangeendelea hadi watakapokataliwa kwa sababu ya mashabiki wanaopinga ubaguzi. Hata hivyo wamefanya publicity ya nguvu, mimi nilkuwa siwajui hao Ricket Family
Dah ngoja tuone ninyi watabe mlobaki mtanange utakuwaje ..sisi Sasa tumebaki watazamaji TU
#CFC![]()








Wenye hisa kubwa ndio wako tayari kununua hisa nyingi, ila mimi naona ya kuwa na hisa nyingi halafu mwenye hisa chache ndie anatawala kuna siku timu itadoda kwa sababu ya maamuzi na kushindana kwingi. Mfano Boehly ana hisa chache lakini atakuwa na sauti kwenye management huu ni mtego. kwa muundo wa makampuni ya hisa, mwenye hisa nyingi ndie mwenye sauti. Sasa hii ya Boehly kuwa na hisa chache halafu eti yeye ndie atakuwa na sauti kwenye utawala ni uongo mtupu, wataanza vizuri leo ila kesho wataanza kuonyeshana misuli huku muadhirika mkubwa ni timu na fansHii consortium ya Toddy Boehly mbona haeleleweki kama pesa nane.
Huyu Clearlake capital atakuwa na umiliki wa hisa nyingi 50% kuliko kinara mwenyewe Toddy, tajiri wa uswis na yule tajiri wa UK. View attachment 2188550
Isingewezekana, kama angetaka yeye kama yeye angewasilisha bid yake kuanzia mwanzo, kabla ya mchujoSasa kama Ricketts family wamejitoa kwanini Griffin ambaye ana mpunga mrefu kuliko hao Ricketts angebaki mwenyewe apambane?
Nadhani sources za habari yako sio realistic au umeelewa vibaya, I belief main reasons iko kwenye masharti waliopewa kutokana na second round bids, masharti mojawapo nilisema mwanzoni wataconsider kipima joto ya mashabiki. Success ya timu ya mpira iko kwa mashabiki. mashabiki wasiporidhika na timu yao wataadhiri hadi mapato. Hii reason hawawezi kuweka wazi kwa sababu ina maslahi ya kibiashara. Ricket Family wameshindwa kukubaliana submission ya bid yao although reasons are hiden but mainly ni aibu ya kukataliwa kwa sababu ya hiyo kipengele cha mashabiki - still guassing but muda unavyokwenda utaniprove wrongMkuu wameshindwa kukubaliana nani atakuwa na hisa nyingi kati ya gilbert,griffin n rickett family, na si kwa sababu ya tuhuma walizokuwa nazo.
Kila mmoja hakutaka kukubaliana na mwenzake juu ya ya ugawaj wa hisa
Hivyo ikasababisha bwana Griffin aombe wajitoe
Kama ingekuwa tuhuma + fans protest wangejitoa kuanzia mwanzo kabisq
Hili kombe huwa linachukuliwa na na mtu ambaye hategemewi kabisa .....Kwa mara nyingine tena UCL final itazikutanisha timu za EPL na kwa bahati mbaya kwa mara nyingine tena City anaweza kukosa hili kombe