Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanashangilia kibingwa, bingwa wa dunia anashinda kila mechi.




THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanashangilia kibingwa, bingwa wa dunia anashinda kila mechi.




We are coming for you....
Mkuu usituharibie furaha. Huu uchafu peleka huko kwenye tread yenu tuache na furaha zetu za kwenda kuchukua FAWale wa Simba mambo sio mabaya tumepata penalti
Simba 1
Parate 0
Dk ya 66
Havertz alikuwa na njano na kila dalili ya kupata ya pili ilikuwa karibu sanaHuyo akae hukohuko aliko....
MOTMWERNER anakuja kuja.
Wamesikia kwa sababu uzi kule umezubaa mnoMkuu usituharibie furaha. Huu uchafu peleka huko kwenye tread yenu tuache na furaha zetu za kwenda kuchukua FA
Tumeingia fainali mbili na Liverkuku, hili kombe tulibebe sasa