Huyo Jamaa aliongea ni Nani?Steve Pagliuca: "Chelsea is a world-class team, in a world-class city, with world-class fans: it deserves a world-class stadium."
Huyo Jamaa aliongea ni Nani?Steve Pagliuca: "Chelsea is a world-class team, in a world-class city, with world-class fans: it deserves a world-class stadium."
Kwanini uoni tukitoa hiyo hela?Dogo anafaa kwa style yetu ya uchezaj ila sion tukimsajil, sioni tukitoa 60-70M
Man city vs Chelsea. % kubwa alitabiriwa Man city ndo atachukua kombe,Mategemeo yakageuka.CHELSEA AKACHUKUA.
Psg vs Bayern.% kubwa alitabiriwa Psg ndo atachukua kombe, Mategemeo yakageuka.BAYERN AKACHUKUA.
Liverpool vs R.Madrid.% kubwa alitabiriwa Liverpool ndiye atakae chukua kombe,Mategemeo yakageuka.R.MADRID AKANYANYUA
Chelsea vs Bayern munchen.% kubwa alitabiriwa Bayern ndiye atakae chukua kombe, Mategemeo yakageuka.CHELSEA AKANYANYUA
Hata Spurs alitabiriwa kuwa atachukua mbele ya Liverpool kipindi kile Spurs ni ya moto na alitawala mechi lakini Liverpool Kwa goli la dk ya mwisho la bobby, Liverpool akabeba
Hata kipindi kile Intermilan chini ya Mourinho anabeba,Hakufikiriwa kabisa kama atabeba lakini Milito aka sema hapana ,Mourinho akanyanyua kikombe.
Na fainal nyingine nyingii tuu...
Uza wafuatao
Rudisha
- Jorginho uza hata mil 30
- Pulisic uza hata mil 50
- Christensen - asepe bure
- Lukaku uza hata mil 70
- Saul arudi kwake
- Azpilicueta asepe bure
- Kepa uza hata mil 40
- Emerson auzwe mil 15
- Sarr uza hata mil 20
- Barkley uza hata mil 10
- Kenedy uza hata mil 5
- Bakayoko uza hata mil 10
- Billy Gilmour uza hata mil 10
- Ethan Ampadu uza hata mil 15
- Michy Batshuayi uza hata mil 5
- Baba Rahman uza hata mil 5
- Matt Miazga uza hata mil 5
- Jumla hapo tunayo mil. 290
Ongeza
- Broja
- Gallagher
Tumsajili game changer striker kama Darwin mil 60
- Harvey Vale
- Lewis Hall
Tuwasajili mabeki wanne wazuri
2 CBs - 120
2 FBs - 120
Jumla ya manunuzi mil 300 (Kumbuka tunayo ya mauzo ya mil 290) biashara imekwisha
Hapo tutakuwa tuko tayari kugombania kombe lolote hadi mwisho kama ilivyo Man city na Liverpool
Kwa maoni yangu tuache kwanza viungo tunao wengi sana
Winga pia wako wengi na kwa mfumo wa TT mara chache sana winga wanahitajika
- Kovacic
- Kante
- RLC
- Mount
- Gallagher
- Havertz
- Ziyech
- Werner
Wewe ndio umeongea facts mwenzako hana uzoefu wa kuujua mpira vizuriNo, you're very wrong! Tunaposema Timu isiyotarajiwa tunamaanisha Timu ambayo haina uwezo, haina ukubwa wala ubora wa kupambania Kombe lakini ikaibuka na ubingwa.
Mfano hakuna aliyetarajia Leicester City kuwa itabeba ubingwa wa EPL.
Au msimu huu Villarreal abebe ubingwa ndiyo tunaweza kusema Timu isiyotarajiwa.
Lakini mifano uliyotoa wewe yote siyo sahihi kwani ni Timu zenye uwezo mkubwa ndiyo imelinganisha.
Huwezi kusema Bayer, Chelsea na Liverpool kubeba ubingwa ni Timu zisizotarajiwa wakati in nature linapokuja suala la Champion League Timu kama PSG, Man City, Spurs, Arsenal hata ziwe bora vipi basi walio wengi hawazipi nafasi ya kutwaa ubingwa.
HUWEZI kuelewa.No, you're very wrong! Tunaposema Timu isiyotarajiwa tunamaanisha Timu ambayo haina uwezo, haina ukubwa wala ubora wa kupambania Kombe lakini ikaibuka na ubingwa.
Mfano hakuna aliyetarajia Leicester City kuwa itabeba ubingwa wa EPL.
Au msimu huu Villarreal abebe ubingwa ndiyo tunaweza kusema Timu isiyotarajiwa.
Lakini mifano uliyotoa wewe yote siyo sahihi kwani ni Timu zenye uwezo mkubwa ndiyo imelinganisha.
Huwezi kusema Bayer, Chelsea na Liverpool kubeba ubingwa ni Timu zisizotarajiwa wakati in nature linapokuja suala la Champion League Timu kama PSG, Man City, Spurs, Arsenal hata ziwe bora vipi basi walio wengi hawazipi nafasi ya kutwaa ubingwa.
Mmoja wa wanunuziHuyo Jamaa aliongea ni Nani?
Kama hujuiJoginho umemu-underrate but Pulisic kwa £50M na Lukaku kwa £70M?
You're not serious
Kiingereza chake ndio imekaa vizuri, wanaita "underdog"No, you're very wrong! Tunaposema Timu isiyotarajiwa tunamaanisha Timu ambayo haina uwezo, haina ukubwa wala ubora wa kupambania Kombe lakini ikaibuka na ubingwa.
Mfano hakuna aliyetarajia Leicester City kuwa itabeba ubingwa wa EPL.
Au msimu huu Villarreal abebe ubingwa ndiyo tunaweza kusema Timu isiyotarajiwa.
Lakini mifano uliyotoa wewe yote siyo sahihi kwani ni Timu zenye uwezo mkubwa ndiyo imelinganisha.
Huwezi kusema Bayer, Chelsea na Liverpool kubeba ubingwa ni Timu zisizotarajiwa wakati in nature linapokuja suala la Champion League Timu kama PSG, Man City, Spurs, Arsenal hata ziwe bora vipi basi walio wengi hawazipi nafasi ya kutwaa ubingwa.
Kinachoshangaza boss atakuwa na umiliki mdogo wa hisa kuliko mwekezaji mwenzie Clearlake capital.
Boss atakuwa Clearlake capital sio Toddy Boehly
Kwa wenzetu siyo kama sisi.Sawa sasa boss kubwa Clearlake capital mwenye hisa nyingi 50% akikataa mambo flani flani kwenye uendeshaji wa timu kulinda pesa yake, Todd Boehly atafanya nini?
May be atakuwa mwenyekiti wa bodiOky nimekupata. Na kama operation zote za club zitakuwa chini ya Toddy Boehly inawezekana hawa Clearlake capital watakuwa wameingia kwenye hii consortium kwa ajili kufund ununuaji wa club kwa maana nusu ya cash ndio wametoa wao.
Toddy Na wale wengine wawili wamechangia nusu iliyobaki.
Pia inawezekana Toddy na wenzake huko mbeleni wakanunua hizo hisa za Clearlake.
In short zipo kampuni ambazo zina CEO's ambao wana zero shares.Oky nimekupata. Na kama operation zote za club zitakuwa chini ya Toddy Boehly inawezekana hawa Clearlake capital watakuwa wameingia kwenye hii consortium kwa ajili kufund ununuaji wa club kwa maana nusu ya cash ndio wametoa wao.
Toddy Na wale wengine wawili wamechangia nusu iliyobaki.
Pia inawezekana Toddy na wenzake huko mbeleni wakanunua hizo hisa za Clearlake.
Kwenye ishu ya utoaji sijajua.Kwahiyo CHIEF kwenye kurun THE BLUES, yaani kutoa pesa ya matumizi ya kila siku + fungu la usajili atatoa Todd peke yake au na wale wengine according to number of shares?
We jamaa uko dunia ipi umesahau kuwa mwaka huu tumebeba kombe la club bingwa ya dunia.
Uzuri n kwamba tumetolewa huku tukiwa tumecheza vizuri tofauti na kwamba tungetolewa huku mpira ulikuwa mbovu. Wana walipambana sana ila haikuwa bahati yetu.
Hata kule nje, unajua mifumo ya makampuni kuen deshwa kwa hisa, hisa ni maslahi ya mmiliki. Hakuna mtu duniani ataacha interest zake ziwe hatarini. Kwa mifumo hiyo huwa sio realistic kabisa. Tod Boehly akiendesha timu vizuri inaweza ikawa amani. na kuendesha timu smoothly nayo sio realistic lazima kutakuwepo ups and downs. Changamoto zikizidi, kobe lazima atafichua kichwa chake na kuanza kutoa za moyoni. Hicho ndicho kitakachotokeaKwa wenzetu siyo kama sisi.
Huyo jamaa wanasema atakuwa Boss sababu operations zote za club ndio zitakuwa chini yake.
Kiongozi hicho kitu sahau, hakuna mtu ktk sayari hii atarisk fedha zake halafu mbele mambo yakiwa mazuri auze na kama mambo yataenda vibaya hakuna pia mtu kwenye hii hii sayari atakayekubali kuwekeza kwenye mradi unaofeli. So forget about thatOky nimekupata. Na kama operation zote za club zitakuwa chini ya Toddy Boehly inawezekana hawa Clearlake capital watakuwa wameingia kwenye hii consortium kwa ajili kufund ununuaji wa club kwa maana nusu ya cash ndio wametoa wao.
Toddy Na wale wengine wawili wamechangia nusu iliyobaki.
Pia inawezekana Toddy na wenzake huko mbeleni wakanunua hizo hisa za Clearlake.
Unachanganya mamboIn short zipo kampuni ambazo zina CEO's ambao wana zero shares.
Acha maneno kabla hujavuka mto, utaliwa na mamba ukiwa machoNi UCL ya mwaka jana
Mwaka huu bingwa wake wa dunia ni mwakani
Hamta chukua kombe lolote,FA hata ukimtoa CP nakupiga Wembley