Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizo rersponse zako ndizo za uchwara
kwa taarifa yako tu hadi sasa EPL tu Alisson na Ederson wana cleansheet 17 wanaofuata Hugo na Mendy 12, sasa uchambuzi wa nani ndio uchwara kijana usifikiri kabla hujaongea
Mbele ya ederson na alison kuna Alonzo na Christensen si ndio?
 
Azip si anaumwa corona, amepona?
Hakutajwa na hayupo kwenye orodha ya majeruhi
Walioko majeruhi/wagonjwa ni Odoi na Chilwell tu
Hata hivyo kutokana na threat ya Zaha kuna uwezekano Azpilicueta na Chalobah wasicheze angalau kwa kuanza labda sub
Kwa hiyo kuna kila dalili kuwa Christansen na Silva na Rudiger wataanza kwa nyuma

So inavyoonekana hiyo line up yako itafanya kazi 100%
 
Mbele ya ederson na alison kuna Alonzo na Christensen si ndio?
Kabla hujachanganya mafaili rejea ulichojibu na mimi nimekujibu hivyo hivyo
Mendy ni golie mzuri hakuna mtu anayekataa hilo ila comparatively madhaifu ya Mendy yako kwenye kutibua build-up za goli inayotengenezwa na maadui tofauti na Ederson na Alison, wao wanajua kutibua hizo movement kwa kuwahi mipira ya hatari
Mendy no no, na kila shabiki wa Chelsea analijua hilo, Desemba mwaka jana alifanya error kama hihi ya kutoclear mpira wa hatari haraka hadi Westham wakafunga goli na tukapoteza points zote kwenye hiyo mechi.

Kwenye kuzia mashuti ya mbali Mendy is OK, mashuti ya karibu no, penalti no.

Baada ya kusema hayo haina maana tunamchukia Mendy ila shabiki yeyote wa mpira angependa kuona matokeo zaidi kuliko kubaki kumsifia mchezaji tu wakati anatuangusha kwenye nyakati muhimu
 
The only positive from first half ni kutoka kwe Mendy na mabeki the rest miyeyusho....

I think hii kiungo ya RLC na jorge ni miyeyusho.....
 
The only positive from first half ni kutoka kwe Mendy na mabeki the rest miyeyusho....

I think hii kiungo ya RLC na jorge ni miyeyusho.....
Ila kwa jorginho tusitegemee makubwa labda wamuingize Lukaku na Saul tubet kwa hao jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom