Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,849
- 16,328
Wagonga nyundo baada ya kuvunja daraja, naona kenge wanakimbiakimbia tu hovyo maskini, hata uelekeo wao hawajui ni wapi.Mudi yangu imeharibika vibaya kwa Liverpool kuchomoka kwenye dakika za majerihu loh!!!!! Ila mie nawakika epl tunaibabe tu kwasabb zifuayazo:
First 11 yetu majerihu wengi.
Tuna kikosi kipana hatumtegemee mchazaji moja
Sala na Mane wakirudi Africa Liverpool inakua aina meno tena.
Mancity inafungwa sio timu inaotisha kivile, kwenye epl.
TT ana binu nyingi za kubadili team na aina ya mchezo.
Kwahiyo wana Chelsea msihofu sana tuwe na roho ngumu kama arsenal na Man u, hatawakiwa kwenye nafasi ya uropa wanaendelea kushangilia tu.
Poleni makenge ya darajani, ndio ukubwa huo taratibu tu mtazoea,
Mwakani tukutane Europa League.




Chelsea foreva