Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morning The Blues fans.

Poleni na maumivu ya kupoteza game jana.

Nina imani TT(The Goffer) yupo jikoni anapika mwarobaini wa hizi mistakes zilizojitokeza kwa mechi 2 zilizopita, tuwe na imani naye we will bounce back
 
Kuna watu waliamini hatutofungwa?

Kama ile Barcelona ya moto ilifungwa na Osasuna! sisi ni nani tusifungwe?

Bayern ya moto imeshapasuliwa mala mbili na vitimu vya kawaida kabisa, Chelsea ni nani asifungwe?

Binafsi nashukuru tumefungwa leo maana huenda tusifungwe tena!

Kwenye kufungwa ndio kwenye kulekebisha makosa.
HUWEZI kuachaa kufungwaaa tena Kati ya timu hizi Southampton, Brighton,Wolves au Aston villa.Ushindi wako utakuwa draw
 
Morning The Blues fans.

Poleni na maumivu ya kupoteza game jana.

Nina imani TT(The Goffer) yupo jikoni anapika mwarobaini wa hizi mistakes zilizojitokeza kwa mechi 2 zilizopita, tuwe na imani naye we will bounce back
Huyo alishaanza kusomwa mbinu zake ukijumulisha na mfumo wake mmoja Kila game ndo kabisaa Afuu na first eleven yake Ileile kila game kitu kinacho fanya overloaded Kwa wachezaji na kusababisha idadi ya injuries kuongezeka,
 
Wewe una chuki tu na TT mbona anatumia wachezaji wengi tu sio first 11 ile ile tukumbali tu westham was good team
 
Ila kutambiana kwa mashabiki wa timu pinzani mara nyingi unafurahisha sana.

Kuna jamaa kule Telegram kwenye channel ya Chelsea, jana alisema furaha yake Daima ni kuona mashabiki wa Chelsea wakiwa wanalia

Mkuu Pain killer au ni wewe ndiye uliyesema hivyo...!?
Mimi na huyo jamaa ni brother's from another mother mkuu .....

Hakuna raha kuona timu Kama Chelsea inateseka aisee
 
Wewe una chuki tu na TT mbona anatumia wachezaji wengi tu sio first 11 ile ile tukumbali tu westham was good team
Kama angekuwa anatumia wachezaji wengi,Mbona unalalamika kuwa first eleven Ina injury?ndo chanzo Cha matokeo mabaya
 
Kama angekuwa anatumia wachezaji wengi,Mbona unalalamika kuwa first eleven Ina injury?ndo chanzo Cha matokeo mabaya
Mbona unajijibu mwenyewe sasa watachezaje wa kua majeruhi?......manaake amerotate team mara nyingi
 
Mbona unajijibu mwenyewe sasa watachezaje wa kua majeruhi?......manaake amerotate team mara nyingi
Amerotate vipii wakati wachezaji wa first eleven wengi ni majeruhi??? Na mnasema matokeo ni mabaya Kwa sababu wachezaji wa first eleven ni injury ko analazimika kutumia wachezaji ambao sio first eleven ndo maana matokeo siyo mazuri.
 
Naby keita
Roberto Firmino
Curtis Jones
Joe Gomez
Harvey Elliot
Naona hao sio majeruhi kwa liverpool

Wanatafuta vizingizio, wachezaji wao ni wa kawaida sana kushinda mechi chache wamejiona wao wana world class player.

Hicho kipindi cha kupoteana kwenye kila timu kipo hao ndio hawajui tu.

Hauwezi kushinda mechi zote wala kuongoza ligi mwanzo mpaka mwisho wa msimu.

Sasa mashabiki wa chelsea hawataki hayo mambo ya kupokezana.
 
Naona akili zimeanza kurudi Sasa

.....kutwa nzima ,unamjua Mendy wewe ,sisi hatujaruhusu goli nyingi,maraa ohhh sisi anafunga yeyote ....

Chelsea upepo umekata tu ..

Over

Mkuu hawa rent boyz bado Epl hawaijui vizuri,sasa hivi akili zitawakaa sawa yaani walikuwa wanaamini watakaa juu hapo mpaka ligi iishe kitu ambacho akipo.

Sasa hivi naona wamechoka hata wachezaji wao maana hata mendy anaonesha dalili zote.

Sasa hivi kufungwa magoli machache wataacha kuongea maana wako sawa na man city.

Swala la upepo kukata liko kwa kila timu,ni swala la muda tu naona saizi imefika zamu ya chelsea. Sasa mashabiki hawataki kukubali
 
Kuna watu waliamini hatutofungwa?

Kama ile Barcelona ya moto ilifungwa na Osasuna! sisi ni nani tusifungwe?

Bayern ya moto imeshapasuliwa mala mbili na vitimu vya kawaida kabisa, Chelsea ni nani asifungwe?

Binafsi nashukuru tumefungwa leo maana huenda tusifungwe tena!

Kwenye kufungwa ndio kwenye kulekebisha makosa.

Mkuu mpira siku zote ndio uko hivyo. Mashabiki wa chelsea hawalijui hilo ndio maana saizi wanamtafuta mchawi nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom