Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
Tuwekee na wa tatuMkuki wa pili wa tumboni View attachment 2032793
Tuwekee na wa tatuMkuki wa pili wa tumboni View attachment 2032793
Kikosi kipana vipi Tena?Ng'olo Kante, Kovacich na Chilwel wamechangia sana Chelsea kuyumba namna ya kushinda hivi karibuni.
Tangu hizo takataka za top 4 ziwe zinaanza kila mechi tumekuwa tukibahatisha matokeo na leo bahati haikuwa yetu. Hii iko wazi, pale gap itakapoongezeka ndio mtaelewa nina maana gani. Siajsema hao wachezaji sio wazuri, ni lugha ya msisitizo tu nimetumia na ndio maana nikayaita takataka za top 4Tuyaache haya maneno, tukiwa tunashinda huwa hatuyasemi ila siku tukifungwa tunaanza tim yetu imejaza matakataka,
Kuna game unacheza vibaya unapata matokeo na kuna game unacheza vizuri hupati matokeo na kuna game unacheza vibaya na unaadhibiwa
Tumekuwa tukifanya individual mistake hiv karibun,
Remember injury nazo zinaturudisha nyuma, chilwell,kova,kante,chalobah na leo tena kai kaumia tena
Bado tupo kwenye mbio, if tukistahimili vizuri huu mwezi .
Usimtetee Mendy kabisa kama umeangalia mpira, alikuwa na golden chances mbili za kuutoa huo mpira nje yeye akang'ang'ana kuulinda kwenye miguu. Sawa primary mistake ni ya Jo lakini naye akaongezea silly mistakes. Kukosea kwa Jo hakumuachi salama MendyJorginho ndiye aliyetoa boko, lawama kwa kipa mnamsingizia bure tu
Na man utd siyo kweli alipasuka goli mbili ila alimfunga man utd FAWestham kawafunga ....
Man utd
Liverpool
Chelsea ..
Except the cityzen ....harafu ile game yetu against westaham tuliimaliza mapema kabisa tuliwamaliza wakati snow inamwagika Hatari ,yaan hata mpira hauonekani vzuri
![]()
Ile krosi ilikosewa, Masuaku alitaka kumimina krosi ya kawaida, mguu ukapinda na krosi ikapindia golini, bahati yake ya mwakaAlikuwa anatoa krosi afu ikajuchinja 1 kwa 1 ndani
Kwa hiyo sio goli. Mmetoa drawIle krosi ilikosewa, Masuaku alitaka kumimina krosi ya kawaida, mguu ukapinda na krosi ikapindia golini, bahati yake ya mwaka
Wasiojua mpira utawafahamu tuTangu hizo takataka za top 4 ziwe zinaanza kila mechi tumekuwa tukibahatisha matokeo na leo bahati haikuwa yetu. Hii iko wazi, pale gap itakapoongezeka ndio mtaelewa nina maana gani. Siajsema hao wachezaji sio wazuri, ni lugha ya msisitizo tu nimetumia na ndio maana nikayaita takataka za top 4
Peter Drury: The lord is upset to Chelsea got rid of Moses and Abraham and brought in Saul😂😂
Mbona ata city alitolewa na huyo huyo West hamNa man utd siyo kweli alipasuka goli mbili ila alimfunga man utd FA
Mimi tu baada ya kuiona Chelsea vs Watford last week nikaaanza kuiona Chelsea ya kawaida na upepo umekata .....
Sasa muache wanaume waendelee na mbio pep Vs klopp
.kipindi chao cha mpito kimefika