Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Wanatafuta vizingizio, wachezaji wao ni wa kawaida sana kushinda mechi chache wamejiona wao wana world class player.
Hicho kipindi cha kupoteana kwenye kila timu kipo hao ndio hawajui tu.
Hauwezi kushinda mechi zote wala kuongoza ligi mwanzo mpaka mwisho wa msimu.
Sasa mashabiki wa chelsea hawataki hayo mambo ya kupokezana.


kabisa mkuu wao wakipoteza wanaanza lawama zisizo kua na maana eti wanamlaum Mendy mara Jorginho mara kocha, Sema tu walipelekewa moto hadi wakapoteana uwanjani, walitucheka sisi kupigwa 3:2 na wao yamewakuta watulie tu. Mbona sisi huwa tukifungwa huwa tunatulia tu? Kama lawama nizamtindo alafu tunavuta pumzi tunasubiri next match.



