Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 405
TT ANATAKIWA AACHE UNAZI NA YY ANATAKIWA KUMPA MUDA MWINGI WA KUCHEZA TU TOFAUTI NA HAPO ATAUMBUKA NA MAJERUHI HAYOJamaa naona hana furaha kabisa.
Hivi nikuulize kweli ODOI NI BORA KWA PULISC? NIJIBU PLZZZTangu hizo takataka za top 4 ziwe zinaanza kila mechi tumekuwa tukibahatisha matokeo na leo bahati haikuwa yetu. Hii iko wazi, pale gap itakapoongezeka ndio mtaelewa nina maana gani. Siajsema hao wachezaji sio wazuri, ni lugha ya msisitizo tu nimetumia na ndio maana nikayaita takataka za top 4
Wakumbushe kua December imeshaingia.Vip bado manaongoza league![]()
Lukaku game 10
Goal 0
Asist 0
Jasho ndoo kumi![]()
Mbona tukishinda huwa hawasemi hao wafanya kazi hewa nae anaumia jinsi timu yak nyumbu inavyotesekaPeter Drury: The lord is upset to Chelsea got rid of Moses and Abraham and brought in Saul![]()
Vip bado manaongoza league![]()
Kwa maoni yangu hilo swali iko nje ya mada yanguHivi nikuulize kweli ODOI NI BORA KWA PULISC? NIJIBU PLZZZ
Huyu jamaa si walisema anadaka mpaka mishaleMkuki wa 3 wa shingoniView attachment 2032794

Tupo top 4 mimi nilimaanisha kileleniKurudi top 4 ni silaha zetu kurejea kikosini.
CHILWELL - JOGHNHO - KANTE - JAMES
------ RUDGER ---- SILVA ---- CHALOBAH ----
SUB:- KOVACIC
Mudi yangu imeharibika vibaya kwa Liverpool kuchomoka kwenye dakika za majerihu loh!!!!! Ila mie nawakika epl tunaibabe tu kwasabb zifuayazo:Yaan Sijui Ntaambia nini watu, hapa nilipo nipo kama Nimepigwa na Kitu kizito sana Kichwani..... Natamani kulia Nashindwa, Hasira sijui nizihakishie wap hizii yaan nimevurugwa kbsa na haya matokeo...
Poleni sana Chelsea wenzangu pia poleni sana wale ambao mko kweny hali kama yangu
Huna haja ya kumuombea adui Yako njaa... Inatakiwa uangalie umekosea wapi upambane na Hali yako,,,Sasa tunahitaji miujiza kurudi kwenye top
Tufanye maombi Liverpool na Man city wapate majeruhi
Tuombe Mungu Liverpool na Man city wadrop form ya wachezaji muhimu
Haya maombi yakijibiwa tutarudi pale juu
Otherwise form ya Liverpool na Man city haitupi fursa hiyo
Ubora unakuwepoo na unaondoka,ubora hufi naoFicha ujinga wako, Mendy bado ni bora. Kufugwa leo magoli 3 haimaanishi kuwa sio bora. Kwa sasa ukimtoa Salah, Mendy ndio anaefuatia kwa ubora.