Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

11
20211204_143317.jpg
 
Azplicueta pumzi ishakata, akicheza rwb tu inakuwa shughuli

Ni bora kumchezesha CHO lwb kuliko alonso/azp if tunataka mtu anayeweza kutupa alichokuwa anatupa chilwel
Odoi kabisa hajui wala hawezi kukaba, bora huyo Azpilicueta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom