Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho mchezaji mzuri sana ila kuna wakati anaboa na akiboa anaboa kweli kweli. Mechi na Manure nilidhani ni bahati mbaya, sasa inajirudia rudia. Ningekuwa karibu yake ningemtusi, hana adabu

Mendy naye kuna wakati anazingua, wewe mpira uko golini kwako halafu unatumia juhudi kuuproteck mpira ambao hata kuudaka haruhusiwi. Alikuwa na nafasi ya kutoa nje wa kurushwa akauproteck, akapata nafasi tena ya kuutoa kona akijifanya anauprotect tena hadi anasababisha penalti. Naomba iwe mwanzo na mwisho kwa hao wazembe wawili wa game ya leo
 
YAni hata Keppa huwa ana control nzuri mipira ya kurudishiwa kuliko Mendy.
Usiwe kigeugeu huyu keppa magoli ya ujinga kama hayo alipigwa mengi tu, medy hana kosa alicheza vizuri, kwanini alete kona wakati mpira alikua ameumudu, isipo kua yule striker ndo alikua mjanja kulazimisha fauli...........ila mjifunze kua na misimamo msiwe kama wale man na arsenal wanao fuata upepo wamatokeo.
 
Mendy ni Kipa mzuri ila huwa anakuwa na papara kwenye mipira ya kurudishiwa.

Kama huwa unaangalia match za chelsea hilo siyo jambo geni.

Match ya man u yenyewe alitoa boko kwa fred. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom