Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu hbr za leo... Uchambuzi wangu wa leo ni huu hii sub ya kumtoa Mount na kumuingiza Kante ni bomba la Sub yaani Spurs wamepotea kabisa!


TT ni master wa mbinu....


Tuendelee kushangilia ushindi
Antonio Konte, kuhusu sub huwa TT yuko vizuri sana.

Kwanini Mshambuliaji mahiri "Lukaku" hatengenezewi pasi za mwisho ili tuwe na magoli mengi na yeye apalilie tuzo bora ya ufungaji wa magoli mengi ktk EPL?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hii game TT ndio kaiuwa kwa mbinu zake... Yaani Chelsea wanacheza ktk ubora wa hali ya juu sn. Yaani kiwango cha juu mno na spirit ya upambanaji ya khali ya juu sn.


Hawa jamaa ni mabingwa aisee wa ulaya na EPL
Hakika Chelsea ni Mabingwa wapya 2021/2022 nami nimeamini hivyo, mpaka Rudiger kafunga goli tamu namna ile?

Tuombe tu uzima ili tuje tusherehekee vizuri ubingwa wa EPL

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Liverpool and Chelsea are matching each other this season

Week 1:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

Week 2:
Liverpool win 2-0
Chelsea win 2-0

Week 3:
Liverpool draw 1-1
Chelsea draw 1-1

Week 4:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

Week 5:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

View attachment 1945401
Kwenye hiyo droo ndiko Liver tulipoimzidi, away goal
 
Kuhusu kutengeneza nafasi chache za kufunga jibu ni kwamba pale mbele kuna uzembe au ubinafsi unaanza kutamalaki.

Kabla ya Lukaku kuja pale mbele vijana walikuwa wanapambana haswa kufunga na kutoa assists, kosa kosa za kumwaga

Huyu Mount wa sasa ni tofauti na Mount wa msimu ulioisha, Werner amepunguziwa dakika za kucheza ule utengenezaji wake wa nafasi za kufunga upo benchi, Pulisic spana mkononi, Ziyech anajulikana ni pure selfishness

Chief ujio wa Lukaku kuna watu wanategea pale mbele, wamemtwisha Lukaku mzigo wote. Mount, Ziyech hawawajibiki kumtengenezea Lukaku magoli

Ukiangalia magoli aliyofunga Lukaku hakuna assists hata moja kutoka pale mbele (Ziyech, Mount, Kai).

Pale mbele kuna tatizo kubwa sana, Pulisic angekuwa full fit, Ziyech ni benchi na auzwe kabisa dirisha lijalo.

TT amrudishe Werner 1st eleven atamsaidia sana Lukaku.
Kati ya Werner na ziyech Bora Werner Mara 10 Ana kasi anatoa assist hata asipofunga
 
Pale mbele combination ni:-

WERNER - LUKAKU - MOUNT/PULISIC (Full fit)

SUB:- Harvetz, Ziyech

Halafu huyu dogo MOUNT sijui nini kimempata anavurunda ile mbaya
Pulisic akipona huyo akae benchi

Waingereza wanatabia ya kushiba mafaniko kidogo tu hasa hawa wazungu .

Lukaku akae na werner na pulisic pale mbele

Tuombe captain America apone haraka.
 
Nimeanza kuamini maneno ya Thomas Tuchel ya kwamba anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza na wao!


Yaani ni shida yaani ni shida....


Alafu nimemsikia Michael Owen akichambua mchezo wa leo kasema kwa uwazi kabisa kuwa Chelsea atakuwa Bingwa kutokana na ubora wao na wanavyocheza. Na kwamba ili timu iweze kuwafunga Chelsea lazima iwe na ubora kuwazidi wao...
Alimalizia pia Kwa kusema " I just can't see them conceding"
 
Liverpool and Chelsea are matching each other this season

Week 1:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

Week 2:
Liverpool win 2-0
Chelsea win 2-0

Week 3:
Liverpool draw 1-1
Chelsea draw 1-1

Week 4:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

Week 5:
Liverpool win 3-0
Chelsea win 3-0

View attachment 1945401
Huyo liverkuku hajakutana na game ngumu bado. Ukiondoa Chelsea tu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom