Yule kipa wetu wa 3 yupo vizuri Sana natamani siku kocha ampe nafasi badala ya kepaPata picha ile mechi na liverpool kepa ingekuwa 4-1
Yule kipa wetu wa 3 yupo vizuri Sana natamani siku kocha ampe nafasi badala ya kepaPata picha ile mechi na liverpool kepa ingekuwa 4-1
Hata mimi nimwewaona hizo timu za Manchester msimu huu hawatakuwa na consistency na hivyo Chelsea ikimaintain consistency tutakula sahaniu moja na Liver hadi achokeHawa liverkuku wapo serious aisee. Huyu ni kwenda naye jino kwa jino tusipoteze mechi kizembe
Nyumbu wanatania/masihara mengi Kwenye kupambania ubingwa
City hayuko tayari kutetea ubingwa
Mapema sana kumuhukumu City maana hata mwaka jana alianza vibaya hivyo hivyo lakini alipoanza kukaza mguu kwa mguu hakupoteza chochote zaidi ya kuchukua ubingwa wa EPL.Hawa liverkuku wapo serious aisee. Huyu ni kwenda naye jino kwa jino tusipoteze mechi kizembe
Nyumbu wanatania/masihara mengi Kwenye kupambania ubingwa
City hayuko tayari kutetea ubingwa
Mkuu kwanini jana Southampton walinyimwa penati ya wazi kabisa dhidi ya Man City, inamaana mbali na VAR kuwepo lakini bado mbeleko hazikwepeki?Hata mimi nimwewaona hizo timu za Manchester msimu huu hawatakuwa na consistency na hivyo Chelsea ikimaintain consistency tutakula sahaniu moja na Liver hadi achoke
Jana nusura The Saint wakupige mande. Sijui unapata wapi hata nguvu ya kuja hapa.
Tutakuona leo ,ushindi wako ni point 1Jana nusura The Saint wakupige mande. Sijui unapata wapi hata nguvu ya kuja hapa.
Jana ungepigwa tu mande maana tishakuchoka.
Ni sawa kabisa Kaka, nami natamani sana iwe hivyo ili Chelsea iendelee kuwa timu tishio duniani kote.Sawa Chief ila mwaka jana timu nyingi za TOP 4 zilikuwa hoiii, Liverkuku majeruhi kibao tangu msimu unaanza.
Kwa sisi pale tunapotakiwa tushinde mechi moja tuongeze ligi tunafanya kinyume chake tunapoteza mechi mfulilizo. Tulimpa city gap kubwa sana la kujiimarisha
Kwa nyumbu kama kawaida masihara mengi tangu msimu unaanza.
Msimu huu Liverkuku na sisi tumejipanga vema kuanzia mwanzo sioni tukitoa gap la kupoteza mechi kizembe mfululizo.
City ajipange haswa msimu huu hakuna gap la dezo dezo
Chifu naomba ufafanuzi kuhusu ile penati waliyonyimwa Southampton dhidi ya Man City jana.Jana nusura The Saint wakupige mande. Sijui unapata wapi hata nguvu ya kuja hapa.
Are you sure unaongelea match ya Aston Villa?Ni sawa kabisa Kaka, nami natamani sana iwe hivyo ili Chelsea iendelee kuwa timu tishio duniani kote.
Tatizo mpira huwa unadunda Chifu.
Hivi uliona ile mechi tuliyocheza na Aston Villa ilivyokuwa ngumu sana kwetu?
Unajua hadi 90 kipenga cha mwisho Chelsea tulipata shuti 1 tu golini mwa Aston Villa ambapo Lukaku aliitumia nafasi hiyo hiyo toka kwa krosi ya Azpilicueta?
Unadhani kwanini mwaka huu timu yetu imekuwa ikitengeneza nafasi chache sana za kufunga magoli ktk EPL tofauti na mwaka jana?
Man City ina fan base ndogo sana, tumvumilie tu hivyo hivyo japo kinafki maana kule kwenye uzi wao hauna wapenzi, wachambuzi wa mpira wala wanaoipenda Man City kindaki ndaki zaidi ya wanaocheza kamali ya mikeka tu...Jana ungepigwa tu mande maana tishakuchoka.
Na Jmosi ijayo tunakupiga mande ili upotee kabisa humu.

Yes, au hukuiangalia Chifu?Are you sure unaongelea match ya Aston Villa?
Nimemaanisha shot on target, au umenielewa tofauti nini?Are you sure unaongelea match ya Aston Villa?
Aiseeee hata sikuyaelewa yale maamuzi.Chifu naomba ufafanuzi kuhusu ile penati waliyonyimwa Southampton dhidi ya Man City jana.
Kuna nini hasa nyuma ya pazia hadi haikuruhusiwa penati ya wazi kabisa?
Au unaongelea Zenit?Yes, au hukuiangalia Chifu?
"TT amrudishe Timo Werner 1st eleven atamsaidia sana Lulaku"Kuhusu kutengeneza nafasi chache za kufunga jibu ni kwamba pale mbele kuna uzembe au ubinafsi unaanza kutamalaki.
Kabla ya Lukaku kuja pale mbele vijana walikuwa wanapambana haswa kufunga na kutoa assists, kosa kosa za kumwaga
Huyu Mount wa sasa ni tofauti na Mount wa msimu ulioisha, Werner amepunguziwa dakika za kucheza ule utengenezaji wake wa nafasi za kufunga upo benchi, Pulisic spana mkononi, Ziyech anajulikana ni pure selfishness
Chief ujio wa Lukaku kuna watu wanategea pale mbele, wamemtwisha Lukaku mzigo wote. Mount, Ziyech hawawajibiki kumtengenezea Lukaku magoli
Ukiangalia magoli aliyofunga Lukaku hakuna assists hata moja kutoka pale mbele (Ziyech, Mount, Kai).
Pale mbele kuna tatizo kubwa sana, Pulisic angekuwa full fit, Ziyech ni benchi na auzwe kabisa dirisha lijalo.
TT amrudishe Werner 1st eleven atamsaidia sana Lukaku.
Mkuu nimekuchek PM apo mwanang..
Hata ile ya Aston Villa pia tulibanwa zaidi ya kutumia uzoefu tu kama sikosei, Chelsea sasa hivi tunakosa maelewano mazuri ya kutengeneza pasi za mwisho pale mbele.Au unaongelea Zenit?
Leo nitakuwa na kvant bapaa kubwa kabisa pembeni nikashuhudie jinsi hawa madogo wa darajan wanavoteseka na mashot ya son &kane.,..Kane what a goal... leo chelwowo vichapo vinaanza