Huyo liverkuku hajakutana na game ngumu bado. Ukiondoa Chelsea tu hapo
Hakika Chelsea ni Mabingwa wapya 2021/2022 nami nimeamini hivyo, mpaka Rudiger kafunga goli tamu namna ile?
Tuombe tu uzima ili tuje tusherehekee vizuri ubingwa wa EPL
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Huyo city tumpige Mara ngap mkuu? Wiki ijayo tunakamilisha ratiba tu hadi sasa tunaongoza 2 bila. Wewe kuku tulikukosa kosa kwa sababu mlikuwa uwanjani wachezaji 12 na refaree wakati sisi tulikuwa 10 tuArse8 na spurs sio washindani siku hizi. Mpige city, manure ndo ujisifu
Ndipo ninapompendea mwamba, kwamba akibanwa huwa anatambua wengine wanaweza kufanya vizuri kwaajili ya timu, so huwa hana uchoyo.Lukaku jana hajafunga ila alitengeneza nafasi mbili za wazi sema waliotengenezewa nafasi hawakutumia nafasi hizo.
Kumbe Chelsea inaweza ikaweka hata jiwe golini na isifungwe maana si kwa ukuta uleHusiwe muoga mkuu uwe unaangalia bila presure sasa ivi chelsea haifungwi ovyo ovyo
Tulimpiga huyo City wako na tukasuluhu na Nyumbu lakini hatukuwa mabingwa, kila mechi ni fainali, maswala ya kukomaa na top 6 afu tunakosa vikombe ni uzumbukuku walibakiwa nao watoto kama wewe.Arse8 na spurs sio washindani siku hizi. Mpige city, manure ndo ujisifu
Unajipitisha na kanga 1 hapa bila kutambua sisi Chelsea vidume ndiyo mabingwa wa UlayaLabda mabingwaa wa Playstation![]()
![]()
![]()


Kumbe unajua sasa na nyie mlikuwa mnajisifu nn Kwa kuwafunga Norwich?Arse8 na spurs sio washindani siku hizi. Mpige city, manure ndo ujisifu
Huyo city tumpige Mara ngap mkuu? Wiki ijayo tunakamilisha ratiba tu hadi sasa tunaongoza 2 bila. Wewe kuku tulikukosa kosa kwa sababu mlikuwa uwanjani wachezaji 12 na refaree wakati sisi tulikuwa 10 tu
Unajipitisha na kanga 1 hapa bila kutambua sisi Chelsea vidume ndiyo mabingwa wa Ulaya
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
peter drury baada ya goal 3 " they are the full package this Chelsea team"Alimalizia pia Kwa kusema " I just can't see them conceding"![]()
Unatupangia?Hiyo gemu na man shity ni droo
Wewe mwenyewe shukuru mlikuwa wachezaji 12Hiyo gemu na man shity ni droo
Unatupangia?
Wewe mwenyewe shukuru mlikuwa wachezaji 12
Kabet uliweHiyo gemu na man shity ni droo