Kaingia kante na kaweka cha piliKumbe Mount katoka ndio maana Chelsea imebadilika
Daaah noma mzeee fanyeni kweli tushindeeee tukasumbueeeeeeChelsea 1 wengine 0 silva
2 huko kanteDaaah noma mzeee fanyeni kweli tushindeeee tukasumbueeeeee
Woyooooooooo weraaaa weraaaaa waleteeeee kati hao mamulukiii..
Punguza hasira... Unaonekana kituko hapa.Hii timu haina tofauti na Yanga.
Yanga inaamini ushindi utaletwa na manara hivi vinabo vinaamini ushindi upo na mendy utadhani tano walizopigwa kipa alikua kepa
Na hii itamkosti mbeleni.Makocha wakishakaa sana wanakuwa na wachezaji wao mfukoni. TT naye kashawapata wa kwake
We unadhani Chelsea ni Arsenal? sisi tunakupiga muda wowote tukiamua.Mbona mmewachenjia ghafla watani wangu?
Tot 0 vs Chelsea 2.Dah tukipigwa aise yale mashabiki ya arse8 na manure na wale liverkuku watatuua.
Ngapi ngapi wazee mnaocheki game Niko hospital wazee
CFC
Basi ushaanzaPunguza hasira... Unaonekana kituko hapa.
Daaah noma mzeee fanyeni kweli tushindeeee tukasumbueeeeeeChelsea 1 wengine 0 silva
Toka hapaWe unadhani Chelsea ni Arsenal? sisi tunakupiga muda wowote tukiamua.
Lukaku bado hajatupia tu?Namuonea huruma LUKAKU hana mtu wa kumlisha mipira.
We endelea kushabikia hao Totte halafu mwisho wa mpira urudi hapa.Basi ushaanza