Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mabeki leo wametubeba
Werner angeanza Lukaku angefunga na matokeo yangekuwa bora zaidi
 
Silva unaweza omba umri wake urudishwe nyuma very professional and talented, Kante wala huitaji kumuelezea. Werner kapewa kila kitu isipokuwa clinical finish. Kuna pundit wa bein sports kaulizwa surprise ya mechi ni nini kajibu ni mechi kuisha kwa 3 bila ilitakiwa isipungue 6
 
Kama ningeulizwa wachezaji watatu waliotubeba leo kwa mtiririko wa ubora ningeweka hivi
  1. Silva
  2. Rudiger
  3. Alonso
Kante sikumuweka kwa sababu yeye ni kawaida yake na kacheza 45mins tu, kaingia mchezo ukabadilika ghafla
 
3rd goal. Rudiger
1632074399381.gif
 
Tuache na team yetu, kwan baada ya kufungwa 5 ikawaje.? Tumechukua UCL + super league na sasa tunapambania EPL tukiwa tunaongoza ligi na huyo aliyetufunga 5 yupo championship ligi tarajiwa ya arsenal
Mbona kama unajisifia kupigwa tano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom