juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Alonso sahiv wa moto, anajuwa kabisa akileta ule ujinga chilwel anamsubir wakat wowote
Alonso sahiv wa moto, anajuwa kabisa akileta ule ujinga chilwel anamsubir wakat wowote
Walau leo nitapata usingizi baada ya hili chama langu kuendeleza kipigo. Yanga ndiyo wanao niangusha.3rd goal. RudigerView attachment 1945326
Akiendelea hivi chilly atazidi kupasha bench motoAlonso sahiv wa moto, anajuwa kabisa akileta ule ujinga chilwel anamsubir wakat wowote
Mimi nilivyoona kawaweka wote hao watatu nikaona TT Hana huruma kwa spursHii ya kucheza na viungo watatu hapo kati yaani Kante, Kova na Jorginho ni shida narudia tena ni shida.
Na ndio maana tunataka Werner aanze, natumai Mechi dhidi ya City Werner ataanzanaMimi sina imani na kule mbele LUKAKU hapati huduma inavyotakiwa
Kipindi cha kwanza Nuno Santo alipatia mbinu na shape ya timu yake ..alitengeneza shape ya Diamond ( Alli, Lo Celso, Ndombele na Pierre ) ..kwenye mbinu ni pale alipoamua kuwa press Chelsea wakianza nyuma ( Kane, Son na Lo Celso ) wote wanawapa presha Silva, Christensen na Rudiger huku Alli akifanya " Man Marking " kwa Jorginho na matokeo yake Chelsea walikuwa wanapoteza mipira kirahisi . ....
Kwanini Spurs walishindwa kutumia hiyo faida kipindi cha kwanza ?? Tunaamini hakuna mtu mmoja anaweza kuzuia peke yake ... lakini Thiago Silva alikuwa daraja la pekee yake, alinusa hatari vizuri kuondoa mipira, alifika kwenye mwili wa Kane na Son pale alipotakiwa na aliondoa presha kwa kuchukua mipira kwa Kepa kuanzisha mashambulizi kwa mipira mirefu ili kukabiliana na press ya Spurs .
Kipindi cha pili Thomas Tuchel alijibu mapigo kuingia kwa Kante kuliongeza idadi ya viungo kwa Chelsea ili kukabiliana na namba ya Spurs ...lakini Kante alichofanya ni kuomba mipira nyuma ya safu ya kiungo ya Spurs ...lakini sio katikati bali kulia na kushoto kwa Pierre na hapo shida ndio ilianza kwasababu Alli harudi nyuma wala Lo Celso wala Ndombele . Kante alikuwa nusu kiungo mshambuliaji na nusu kiungo wa kati ( katika hali mbili Chelsea wakiwa na mpira na bila mpira ) .
Hii ni mechi ambayo pia Santo angetamani kuwa na Lucas Moura ...mchezaji ambaye anaweza kukimbia na mpira lakini pia anaweza kushambulia " space " nyuma ya viungo . Ndombele , Lo Celso na Alli wote kipindi cha pili walikuwa wanacheza mbele ya viungo wa Chelsea kitu ambacho rahisi kukabiliana nacho

Hands up 

Movie ya kutishaPicha lenyeweView attachment 1945352
Spurs au liva sina uhakika
Ahsante sana ,naamini utaendelea kupost huku after everything3rd goal. RudigerView attachment 1945326
Nimependa alivyomaliza mwshoni,𝐓𝐔𝐂𝐇𝐄𝐋 𝐀𝐋𝐈𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐃𝐊 𝟒𝟓 𝐓𝐔 ....
Kipindi cha kwanza Nuno Santo alipatia mbinu na shape ya timu yake ..alitengeneza shape ya Diamond ( Alli, Lo Celso, Ndombele na Pierre ) ..kwenye mbinu ni pale alipoamua kuwa press Chelsea wakianza nyuma ( Kane, Son na Lo Celso ) wote wanawapa presha Silva, Christensen na Rudiger huku Alli akifanya " Man Marking " kwa Jorginho na matokeo yake Chelsea walikuwa wanapoteza mipira kirahisi . ....
Kwanini Spurs walishindwa kutumia hiyo faida kipindi cha kwanza ?? Tunaamini hakuna mtu mmoja anaweza kuzuia peke yake ... lakini Thiago Silva alikuwa daraja la pekee yake, alinusa hatari vizuri kuondoa mipira, alifika kwenye mwili wa Kane na Son pale alipotakiwa na aliondoa presha kwa kuchukua mipira kwa Kepa kuanzisha mashambulizi kwa mipira mirefu ili kukabiliana na press ya Spurs .
Kipindi cha pili Thomas Tuchel alijibu mapigo kuingia kwa Kante kuliongeza idadi ya viungo kwa Chelsea ili kukabiliana na namba ya Spurs ...lakini Kante alichofanya ni kuomba mipira nyuma ya safu ya kiungo ya Spurs ...lakini sio katikati bali kulia na kushoto kwa Pierre na hapo shida ndio ilianza kwasababu Alli harudi nyuma wala Lo Celso wala Ndombele . Kante alikuwa nusu kiungo mshambuliaji na nusu kiungo wa kati ( katika hali mbili Chelsea wakiwa na mpira na bila mpira ) .
Hii ni mechi ambayo pia Santo angetamani kuwa na Lucas Moura ...mchezaji ambaye anaweza kukimbia na mpira lakini pia anaweza kushambulia " space " nyuma ya viungo . Ndombele , Lo Celso na Alli wote kipindi cha pili walikuwa wanacheza mbele ya viungo wa Chelsea kitu ambacho rahisi kukabiliana nacho
NOTE
1: Muundo wa uzuiaji wa Chelsea ni hatari upo imara sana hasa wakipoteza mpira ...kila mchezaji anajua nini cha kufanya
2: Harry Kane ndio maana alitaka kuondoka Spurs ...sasa hivi anatamani angekuwa jezi ya Blue ( Chelsea ) au Blue bahari ( City )
3: Uimara wa Chelsea unaokoa kiwango cha chini cha Mount, Havertz, Ziyech
4: Thiago Silva ...umri ni namba tu , kwangu mimi ndio Man of the Match
5: ATAKAYEMALIZA JUU YA CHELSEA NI BINGWA .....CHELSEA NI BEST TEAM IN THE LANDHands up
![]()

Liverpool and Chelsea are matching each other this seasonHawa liverkuku wapo serious aisee. Huyu ni kwenda naye jino kwa jino tusipoteze mechi kizembe
Nyumbu wanatania/masihara mengi Kwenye kupambania ubingwa
City hayuko tayari kutetea ubingwa

Nimemsikiliza mchambuzi wa soka na Glen wanasema kuweka viungo watatu hao maana yake ni kwamba TT aliweka nguvu kubwa sn kwa spurs kiasi spurs walizidiwa kila kituMimi nilivyoona kawaweka wote hao watatu nikaona TT Hana huruma kwa spurs
Thomas Tuchel is now unbeaten in 6 straight away games against the ‘big six’…Leo nitakuwa na kvant bapaa kubwa kabisa pembeni nikashuhudie jinsi hawa madogo wa darajan wanavoteseka na mashot ya son &kane.,..
Hakuna Raha Kama kuona Chelsea inafungwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wote duniani wa timu ya Chelsea FC 
Hivi kwanini wachezaji wengi wa U.K huwa hawana uwezo wa kutetea vipani vyao kiubora kwa muda mrefu?Kumbe Mount katoka ndio maana Chelsea imebadilika