Kama Angekuja angeisumbua Tu Chelsea mbeleni....Afu uchezaji wake ninavyouona km WA Alonso hv mzuri kushambulia lkn ulinzi sio sanaConte adai Hakimi Achraf Hakimi akili yake yote iko kurudi Real Madrid. Hata kama amesaini mkataba na PSG hadi 2026, ila ameitumia PSG kama njia tu ya kurudi Barnabeu
Talking to Sky Sport Italia about his former player, the ex-Chelsea boss said: "Psychologically, Hakimi suffered a little bit from last year's games against Real Madrid.
"His dream is to play for that club again as a key player."
Nope mpe time kiwango chake kitarudiNakazia hapo kwa Ziyech
Mkuu nimekuchek PM apo mwanang..Usiogope kutesa kwa zamu![]()
Inaelekea unamuelewa sana Zhiyech. Tatizo la mchezaji wako ubishoo hajitumi.Nope mpe time kiwango chake kitarudi
Mbona kabla ajaumia katusaidia kubeba UEFA SUPER CUP na pia pre season alikiwasha Sana mbona Kai harvert akabi usemi hata Timo Werner mwenyewe akabi, si kila mchezaji anakuwa nakipaji chakukaba hata pale city Grealish akabi lakini ubora wake unauona ni just of time utamuona Ziyech kwenye ubora wake wazungu wanasema "Performance is temporary but class is permanent".Mnatakiwa sometimes msiongozwe na miyemko mimi niliwahi kuwaambia ubora wa Mendy before yakuja Chelsea inatakiwa imsajili badala ya onana mliokuwa mnataka mmeona leo nilichokisema mnaona live.Pia bila kusahau Mimi hapa jukwaani ndio nilikuwa nampigia chapuo Romelu Lukaku aje darajani mlinipinga mkawa mnamtaka Hallaand ila now kelele zote zimezimika za Hallaand mtazani sio nyinyi.Inaelekea unamuelewa sana Zhiyech. Tatizo la mchezaji wako ubishoo hajitumi.
Tatizo la Ziyech liko kule mbele tena baada ya preseason. Tatizo lake kubwa hana utamaduni wa kucheza na wenzake. Anataka tu yeye afunge kwa hiyo aidha wanamuwahi kumnyang'anya mpira au anapiga hovyo.Mbona kabla ajaumia katusaidia kubeba UEFA SUPER CUP na pia pre season alikiwasha Sana mbona Kai harvert akabi usemi hata Timo Werner mwenyewe akabi, si kila mchezaji anakuwa nakipaji chakukaba hata pale city Grealish akabi lakini ubora wake unauona ni just of time utamuona Ziyech kwenye ubora wake wazungu wanasema "Performance is temporary but class is permanent".Mnatakiwa sometimes msiongozwe na miyemko mimi niliwahi kuwaambia ubora wa Mendy before yakuja Chelsea inatakiwa imsajili badala ya onana mliokuwa mnataka mmeona leo nilichokisema mnaona live.Pia bila kusahau Mimi hapa jukwaani ndio nilikuwa nampigia chapuo Romelu Lukaku aje darajani mlinipinga mkawa mnamtaka Hallaand ila now kelele zote zimezimika za Hallaand mtazani sio nyinyi.
chilly namkubal ila mechi ya spurs ishakuaga na torat kua alonso atafunga kwaio awez kuanzia bench kesho ataanzaSpurs vs Chelsea Line up on Sunday
Formation 3-4-2-1
------------------------------------Lukaku----------------------------------------
Werner -----------------------------------------------------------------Mount
Chilwell --------------------- Kovacic ------------------- Kante ---------------------- Azpilicueta
Rudiger ------------------------ Silva --------------------------- Christensen
Mendy


Tatizo la Ziyech liko kule mbele tena baada ya preseason. Tatizo lake kubwa hana utamaduni wa kucheza na wenzake. Anataka tu yeye afunge kwa hiyo aidha wanamuwahi kumnyang'anya mpira au anapiga hovyo.
Pili waliokuwa wanamtaka Lukaku tuko wengi, wachache ndio waliokuwa hawamtaki na wengine kama wamehama jukwaa hadi Lukaku aboronge ndio waje na matusi
All in all, Ziyech ni mchezaji mzuri ila tangu aje TT hajafit vizuri kwenye style yake tofauti na wakati wa Lampard. Mechi moja moja alizofanya vizuri hasa za UEFA bado haziwezi kumjastify kuwa kamafanya vizuri. Ziyech ni kama ana kiburi nahisi, sio yule mchezaji wa kufuata maelekezo ya kocha. Na sasa naanza kumuamini kocha wake wa timu ya Taifa
Ziyech namuona kama mchezaji anayedepend na talents zake mwenyewe badala ya kufuata maelekezo ya kocha wake. Kama yuko hivyo, soon atageuka kuwa outcast kama akina Barkley, Drinkwater na akina Bakayoko
Kichaaa ww wala si mzma
Nipo hapa mkuu...mi ni spurs damudamu..
Pata picha ile mechi na liverpool kepa ingekuwa 4-1![]()
Mendy: Mechi 4 za ligi cleansheets 3, saves 16 na kufungwa goli moja tu tena la penalti
Kepa: Mechi 4 za ligi ingekuwa cleansheets......saves....... na Kufungwa magoli ....