Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu hbr za leo... Uchambuzi wangu wa leo ni huu hii sub ya kumtoa Mount na kumuingiza Kante ni bomba la Sub yaani Spurs wamepotea kabisa!


TT ni master wa mbinu....


Tuendelee kushangilia ushindi
Mkuu KANTE ni mchezaji wa Dunia. Anajua apeleke mpira wapi. Kante bado anTamani kushinda Mataji mengi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shabiki wa Arsenal hawezi ishabikia spurs. Hata iweje.

Nilishangaa vile first half wametoka suluhu, wana possession nzuri na wamecreate chance.

Kumbe tatizo ni Kante hayupo. James kaingia?
Mkuu wewe unatakiwa utazame mpira na si kushabikia manake yako siku zijazo zitakuwa mbaya zaidi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
1st goal. Thiago silva
1632070815058.gif
 
Jamani hakuna haja ya kufanya uchambuzi wowote!


Pongezi nyingi zimwendee kocha TT kwa ubora wake wa mbinu na kufanya sub za ukweli!


Chelsea kwa Mara ingine tena wameonyesha tabia za kuwa bingwa wa EPL kwa kuisumbua kabisa spurs...


Spurs walikuwa wazuri ktk first half lkn second half wamekiona cha moto.


Kudos nyingi sn kwa TT kwa kumrudisha tena ktk kiwango cha juu sn Marcos Alonso....


Chelsea wanatisha sn....


Who is next in EPL? Man City ajiandae.... Ngoja tumalizane kwanza na Aston Villa J5 ktk carabao cup then tuje tukutane na Man City siku ya jumamosi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom