Hahaahaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1802615
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516]Ngolo Kante man of the match
Huenda akachukua Ballon d'or mwaka huu
View attachment 1801935
View attachment 1801937
Ballon dor inatokea Euro this time.Ngolo Kante man of the match
Huenda akachukua Ballon d'or mwaka huu
View attachment 1801935
View attachment 1801937
Kumbe huwa unatukana mkuu.Mm simtaki mkeo mana hua namgonga kila siku, nakutaka ww nipasue huo mtaro
InawezekanaBallon dor inatokea Euro this time.
Naomba kuelimishwa vigezo vya kupewa hiyo Ballon D'orBallon dor inatokea Euro this time.
Hapana boss, nimemjibu kulingana na alichoongea. Pia ameongea kiushabiki na Mm pia nimemjibu kiushabiki hvy nadhani hakuna aliye serious kwenye hayo manenoKumbe huwa unatukana mkuu.
Oyoooo....[emoji123][emoji847][emoji28][emoji1787][emoji120][emoji1666][emoji106]Wafalme wa London, tuko njiani tunakuja home. View attachment 1802786
Timu kubwa zote zimechukua hili kombe angalau marambili
Thibaut namchukiaHazard hakulazimisha kuondoka, aliyelazimisha ni yule kipa. Hazard anaweza kurud Chelsea mana hakuondoka kwa dharau.
Kushinda mataji hasa makubwa km WC, Euro, au Uefa huku wewe ukiwa ndiyo main source ya hayo mataji kwa kufunga goli nyingi au kuwa engine ya ushindi, ila kwa sasa yanaangaliwa zaidi magoli japo zamani haikuwa ishu sn, walikuwa wanaangilia zaidi mchango na ufundi wa mchezaji, cku hz imekuwa kisiasa zaidi.Naomba kuelimishwa vigezo vya kupewa hiyo Ballon D'or
Kama ni hivyo kijana hawezi kupewa, Modric ilikuwa bahati yake.Kushinda mataji hasa makubwa km WC, Euro, au Uefa huku wewe ukiwa ndiyo main source ya hayo mataji kwa kufunga goli nyingi au kuwa engine ya ushindi, ila kwa sasa yanaangaliwa zaidi magoli japo zamani haikuwa ishu sn, walikuwa wanaangilia zaidi mchango na ufundi wa mchezaji, cku hz imekuwa kisiasa zaidi.
Huyu jamaa asipochukua ballin d'or nitawaalani Sana waandajiNgolo Kante man of the match
Huenda akachukua Ballon d'or mwaka huu
View attachment 1801935
View attachment 1801937
Wafike salama jamani.Wafalme wa London, tuko njiani tunakuja home. View attachment 1802786
Ya modric ilikuwa ya cr7 ile sema km nilivyokwambia hii tunzo ina usiasa mwingi, km cr7 angebaki Spain angechukua ile tunzo.Kama ni hivyo kijana hawezi kupewa, Modric ilikuwa bahati yake.
Uko sahihi kwa 100% Chifu.Ya modric ilikuwa ya cr7 ile sema km nilivyokwambia hii tunzo ina usiasa mwingi, km cr7 angebaki Spain angechukua ile tunzo.