Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hi mechi tunaishida tu vizuri bila shida 2-1, wachezaji wote wako motivated na high morale ya kuchukua UEFA, usilinganishe na mechi ya Astoni Villa tulikua na option za kufuzu nyingi tu, katika hili kombe option ni moja kushinda tu
Tunashinda vizur tu, sema watu wana uwoga kwa kuwa tulifungwa tokea game y arsenal, wanasahau tulifungwa ila chamoto walikiona na bahat pia haikua kwetu. Kwa hiyo sisi sio wanyonge. Man city aliekua nasababsha anatupiga ni Aguero na silva sasa hawapo, Pep akijichanganya asipomuweka Aguero, na sisi asipokua Jorginho 100% tunashinda.
 
Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
  1. Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
  2. Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
  3. Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
  4. Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
  5. Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
  6. Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
  7. Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
  8. Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?

Man city hawa hapa
  1. Ilkay GündoganGündogan 17
  2. Phil FodenFoden 16
  3. Raheem SterlingSterling 14
  4. Riyad MahrezMahrez 14
  5. Gabriel JesusGabriel Jesus 14
  6. Ferran TorresTorres 13
  7. Kevin De BruyneDe Bruyne 10
 
Asipo elewa na hapa baaasi
 
DOGO KAJITOA
IMG-20210528-WA0003.jpg
 
Tumewapga game mbili, kwani hizi statistics hazikuwepo? Halafu Fainali haina mwenyewe. tatizo mnawapa sana City credits wakat hata sisi kikosi tunacho. Yeyote anaweza kushinda hakuna atakaeshinda kiurahisi.
 
FA hao wote hawakuwemo au City hawakutaka hilo kombe, hao wachezaji wa Chelsea wengi wamakaa nusu msimu, ila matokeo tu nayo tu.
 
Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
  1. Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
  2. Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
  3. Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
  4. Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
  5. Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
  6. Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
  7. Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
  8. Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?

Man city hawa hapa
  1. Ilkay GündoganGündogan 17
  2. Phil FodenFoden 16
  3. Raheem SterlingSterling 14
  4. Riyad MahrezMahrez 14
  5. Gabriel JesusGabriel Jesus 14
  6. Ferran TorresTorres 13
  7. Kevin De BruyneDe Bruyne 10
Ingawa mimi ni fan wa Chelsea, uwezekano wa kuwashinda Man C kesho ni 40%. Man C nawapa 60%. Chelsea tunaumizwa sana na kosa kosa nyingi za magoli za finishers wetu.
 
Tumewapga game mbili, kwani hizi statistics hazikuwepo? Halafu Fainali haina mwenyewe. tatizo mnawapa sana City credits wakat hata sisi kikosi tunacho. Yeyote anaweza kushinda hakuna atakaeshinda kiurahisi.
Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
 
Ukisema tulibahatisha unakosea mana chances zinatengenezwa nyingi, kama unashinda game halafu umetengeneza nafasi nyingi ila wameshindwa kuziconvert hiyo sio bahati, utasemaje kwa aliyetengeneza nafasi moja na akashinda mechi.
Ukisema bahati mfano ni kama game la Arsenal,walishinda kwa bahati ila sio kwamba walitufunga kwa uwezo.
 
KANE anakwenda CITY.

Au level ya KANE kama mchezaji gani kwa mfano? Lewandoski?

Son - Werner - Sancho

Hazard - Werner - Sancho

Tumrudishe Hazard kwa mkopo au tuwasajili Son & Sancho, huku tukiomba Mungu Werner arudishe makali
Sancho ni Odoi aliyechangamka. Sijui mnaona kitu gani kwa huyo jamaa.
 
Ukisema tulibahatisha unakosea mana chances zinatengenezwa nyingi, kama unashinda game halafu umetengeneza nafasi nyingi ila wameshindwa kuziconvert hiyo sio bahati, utasemaje kwa aliyetengeneza nafasi moja na akashinda mechi.
Ukisema bahati mfano ni kama game la Arsenal,walishinda kwa bahati ila sio kwamba walitufunga kwa uwezo.
Na tatizo ndio iko hapo kwenye kutengeneza chances nyingi tena nzuri halafu hatuna wafungaji
Mpira wa kisayansi unaangalia takwimu nje ya hapo ni kubahatisha
 
Timu iliyokwenda Ureno hii hapa
  1. Edouard Mendy
  2. Kepa Arrizabalaga
  3. Willy Caballero
  4. Thiago Silva
  5. Antonio Rudiger
  6. Kurt Zouma
  7. Andreas Christensen
  8. Cesar Azpilicueta
  9. Reece James
  10. Marcos Alonso
  11. Ben Chilwell
  12. Emerson
  13. Jorginho
  14. N’Golo Kante
  15. Mateo Kovacic
  16. Billy Gilmour
  17. Mason Mount
  18. Hakim Ziyech
  19. Kai Havertz
  20. Christian Pulisic
  21. Callum Hudson-Odoi
  22. Tino Anjorin
  23. Timo Werner
  24. Olivier Giroud
  25. Tammy Abraham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom