simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
Mwisho wa premier league drama UEFA ndio usiseme more drama.
...I love Di Mateo, he moves me!!!
Wow! RDM deserves unconditional love
Ivi chelsea nayo timu?ushindi wa magumashi ndo unawafanya muwe wehu ivo subilini kihama chenu kwenye makundi kama mtapita nta ku.nya barabarani.
kweli ulisema mnaedna kama chipolopolo,niliamini maneno yako toka mlivyomtoa fc barcelona iliniuma sana ndio timu yangu,ila hongereni sana.If Di Mateo was in the titanic would have saved it! There is only one team in London
hata mimi nimefuai kombe kubaki England ila ................................
Kwa mara nyengine tena, HONGERA SANA WANA CHELSEA WOTE - Kuanzia wachezaji, kocha, meneja, wanachama, wapenzi, hasa muanzisha uzi huu Sanda Matuta na Ab-Titchaz, Bantugbro, CUTE, Dark City, dilu, Erickb52, escober, GITWA, Invisible, ITEGAMATWI, Level, Kongosho, Saint Ivuga, Mentor, Mnandi, MPAMBANAJI.COM, Nyamizi, palalisote, Peasant, utantambua....orodha inaendelea; bila ya kuwasahau WAPINZANI.
Ningependa wanaoelewa kinachoendelea ndani ya Chelsea, kulikoni Torres? Amekuwa mramba benchi kwa muda mrefu, enzi zake zimekwisha? Hana maslahi tena kwa timu? Kuna mpango gani juu yake, anabaki au atahamia kwengine?
Chelsea walsaidiwa sana na vitu viwili - uzoefu wa timu na imani.Mammamia,kuwa bingwa kuna raha yake asikwambie mtu na hasa ukizingatia majority walikuwa wanatudharau.Kilichofanyika siku hiyo Munich (home groud ya Buyern) ni sawa na baba kupigwa na mwanaume mwenzio tena nyumbani kwako na kunyang'anywa mke lol!
Chelsea walsaidiwa sana na vitu viwili - uzoefu wa timu na imani.
Kwa uzoefu wa timu, Chelsea ina historia kubwa zaidi kuliko Bayern. Kwa imani, (Ref: Faith moves mountains) hata mara moja hawakupoteza imani hata mara moja hadi kick ya mwisho ya Didier.
Pamoja na yote hayo, ninachoamini ni kuwa historia imejirudia - kuwa hakuna timu yoyote ya nyumbani iliyowahi kuchukua kombe - Bayerns were to make history, but history has made them history.