Tangu mwanzo Kongosho aliposema "oooh naenda kulala, oooh nimetia ear plugs, oooh uzi huu sikuji tena..." nilijua tu atabaki macho mpaka asikie Hurreeeeeeeeeeee yako.Hahahahahahah,
Hakuna mtu anayeweza kulala katika mazingira tete kama hayo....labda kama tayari anapewa RIP!!
Babu DC!!
weraweraaaa...tumefunika mbaya. hadi mwakani tunabanana tena na hao wakina man u na man city kama kawa. hii ni heshima ya vijiweni bana. kesho mi ndo ntakua muongeaji. umemuona drogba na kile kichwa..ameruka hivi akasukumwa lakini mara goooo....hahahaaaaaa.....!!!