Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

both of them miss out penalty kick..
Kusema kweli ninamhurumia sana Matta; laiti kukosa kwake kungekuwa sababu sababu ya kupoteza kombe, majuto angekwenda nayo hadi kaburini,na kama ni South Amerika...(malizeni wenyewe). Lakini ndio hivyo tena, Didie kavusha kombe salama kutoka Allianz Aren hadi Stamford Bridge bila ya kuwasahau 1st&2nd Rear Admirals Abramovich & Di Mateo.
 
Hongereni sana Bluz, bro Peasant, Ab Tchaz, Invisible et al, you guys i seconded you till day one, u made it. Sipati picha Peasant jana alikua na hali gani....
 
Ashley-Cole-Trophy-Chelsea-Champions-League-f_2767964.jpg

This's what you get when you shift from North to West London.
 
Hongereni sana Bluz, bro Peasant, Ab Tchaz, Invisible et al, you guys i seconded you till day one, u made it. Sipati picha Peasant jana alikua na hali gani....

Nimelewa mbaya na bado party linaendelea mtaani....mademu wa kuokota kibao!! It's wild and nice in SW6.
 
Aaa wapi!! Na hao utakaowatambia labda hawajacheki ball fresh weweee au wale wakusimuliwa.....Chelsea kesho hata hamniambii kitu atii, japo nakubali nyota nyeupe ilikuwa upande wenu!

sasa hivi nmatuponda lakini moyoni mwenu tumo na tuna wauguza taratibu. unajua nini Kipipi, usihofu saana coz mwakani inaweza kuwa nyinyi lakini kwa mwaka huu tupongezeni tu. ni haki yetu na huu ndo mpira, ball. hahahaaaaa....!!!
 
Last edited by a moderator:
It plays in blue.
Fantastic Chelsea, the pride of London.

Wake up, unywe supu kuondoa hangover..au supu hamna London?? jana kama nilikuona ulivyokuwa unadundika kwa furaha!! Good win to warm up London Olympics 2012 too!!
 
Aaa wapi!! Na hao utakaowatambia labda hawajacheki ball fresh weweee au wale wakusimuliwa.....Chelsea kesho hata hamniambii kitu atii, japo nakubali nyota nyeupe ilikuwa upande wenu!

Ni ngumu kumeza lakni ndio ukweli wenyewe,Chelsea ni timu bora na mabingwa wa UEFA.The rest is history!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom