EMMANUEL TITO HAULE
Member
- Aug 12, 2012
- 5
- 0
hizo mbwembwe tu
Kuna dalili kuwa Di Matteo hatamaliza mkataba wake
chelsick! msimu ukianza thread inakuwa jumba bovu kwa vichapo mnavyopokeaa!!
Haha. Tayari wamekimbia yani mapemaaa. Glory hunters
Kwa nini?!
Chelsea damu...I am proud to be a chelsea fan. Nasema mapemaaa kabisa msijesema tunaongeaga tukishinda tu...leo na siku nyingine zijazo ni magoli tu kwa kwenda mbele..
Watch this space.
Naam, tumeanza na leo thamani ya Victor Moses imechuja, mwambieni Martinez amwachie huyu kijana aje Darajani!
Naam, tumeanza na leo thamani ya Victor Moses imechuja, mwambieni Martinez amwachie huyu kijana aje Darajani!
Hivi victor moses ni standard ya kuchezea chelsea kweli? Ndio tatizo la kua na mediocre manager u end up signing mediocre players
Huwezi compare chicha na moses au welbeck na moses angalia magoli mangapi wellbeck chicha na moses walifunga mwaka jana
Huwezi compare chicha na moses au welbeck na moses angalia magoli mangapi wellbeck chicha na moses walifunga mwaka jana
Nasikia Bebe alikuwa Manure best player of the season. He's great player.