Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chalsea bana pamoja na mafanikio yote aliyoonyesha De mateo eti bado wanasuasua kumpa kazi parmanent
 
Bosi anataka timu yake icheze kama Barcelona!! De Mateo hawezi kuifanya timu iwe na staili hiyo ya uchezaji!
 
FAREWELL DIDIER DROGBA

It's sad to see our legend Didi leaving the club. Thanks for your fantastic service to club, I can't forget all those finals goals and 13 you put up the fat Arses in 13.
We wish you all the best in your new challenge.

KTBFFH
 
It's hard to believe that he is leaving the blue color. Thanks for all Didi you have done for us.

FAREWELL DIDIER DROGBA

It's sad to see our legend Didi leaving the club. Thanks for your fantastic service to club, I can't forget all those finals goals and 13 you put up the fat Arses in 13.
We wish you all the best in your new challenge.

KTBFFH
 
Peasant, Masanilo, Ab-Titchaz, Invisible, Sanda na hata wale watesi wetu haswa Wacha na Arsene Wenger, ilikuwa ni furaha isiyo kifani! Mpaka nikatoka mekoni!

KIla nikipata dakika tano na-rewing the final 3 minutes of the game na zile penati, and I wish there was a 360 coverage to see everything happening at the same minute!

Farewell Drogba, Kalou, Bosingwa, Maluda and so is Essien who I think if Modric moves to the Bridge, Essien ndo kwaheri! Pale nyuma Obi keshakwaa namba! Betrand ndo anapanda, Sturridge, anaweza temwa tuu, we need few new faces to join Cech , Cole, Brani, Terry, Obi, Mata, Laps, Torres, Ramires the Mchawi, Mireles na wengine wasugua benchi wa kawaida!
 
hongereni pride of london kwa kubeba uefa champs ligi,naona mnaingia champions ligi kwa kufumba macho,kiulaini
 
na sasa mnaongeza yule mtoto kutoka Lille.............Chelsea itakuwa moto wa kuotea mbali.........
 
HATIMAYE TUMEMNASA EDEN HAZARD HULK NA MARIN ni full shwange msimu ujao wapinzani wetu mlie tu ni mwendo wa full shangwe
 
Peasant, Masanilo, Ab-Titchaz, Invisible, Sanda na hata wale watesi wetu haswa Wacha na Arsene Wenger, ilikuwa ni furaha isiyo kifani! Mpaka nikatoka mekoni!

KIla nikipata dakika tano na-rewing the final 3 minutes of the game na zile penati, and I wish there was a 360 coverage to see everything happening at the same minute!

Farewell Drogba, Kalou, Bosingwa, Maluda and so is Essien who I think if Modric moves to the Bridge, Essien ndo kwaheri! Pale nyuma Obi keshakwaa namba! Betrand ndo anapanda, Sturridge, anaweza temwa tuu, we need few new faces to join Cech , Cole, Brani, Terry, Obi, Mata, Laps, Torres, Ramires the Mchawi, Mireles na wengine wasugua benchi wa kawaida!

Pamoja sana!

Im worried Kama Di Mateo Atapewa Mikoba ! Upepo ni kwa Pep Gurdiola
 
Jamani kwa miaka 8 Arsenal wamebeba vikombe vingapi ? Na mwakani naona mtindo ni ule ule
 
HATIMAYE TUMEMNASA EDEN HAZARD HULK NA MARIN ni full shwange msimu ujao wapinzani wetu mlie tu ni mwendo wa full shangwe

yaani tutawapiga goli mpaka wainamishe vichwa vyao chini,watajuta kucheza na chelsea
 
kweli ulisema mnaedna kama chipolopolo,niliamini maneno yako toka mlivyomtoa fc barcelona iliniuma sana ndio timu yangu,ila hongereni sana.

Karibu sana! Hazard na Hulk wako darajani bado Dembele na mondric
 
Hulk mbona bado kukamilisha move yake. Modric anahitajika sana, jama yuko fit sana, msimu uliopita alisaidia sana Spurs.. Vipi kuhusu Mccheran? ata pewa number msimu ujao? au midfield itakua packed sana maana kuna Lamps, Ramires, Obi, Mata, Marin, De brune, Hazard....na soon Hulk.
Coach atakua nakibarua cha kuchagua wachezaji kama Mancini wa Man Shitty
 
Hongereni wakuu kwa kununua CL khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
nasikia
Abraham O vich
anataka kutumia tena £1 billion ili mshinde tena. Phew who want to watch any game you play anyway?

Nasikia
Peas of ant baada ya kupotea kwa msimu wote ati naye yupo amerudi kwa aibu kubwa bila ya kumsahau Invisible na Mungiki brother
et al muwe basi mnakaa hapa na kuonekana wakati wa msimu sio mnarudi tu mnaponunua ushindi.

BTW nimeona leo mmemfungulia Wacha1 nitamtaarifu ili aje awape vidonge vyenu.
 
Jifunze kuongea kwa adabu unapoongea na MABINGWA WA ULAYA. Hapa sio Emirates kwenye makabati yaliyojaa vumbi badala ya vikombe. Ulikimbia wewe baada ya kuona moto wetu mkubwa, anyway, karibu tena utusindikize kuchukua vikombe msimu unaoanza kama kawaida yenu.
 
chelsick! msimu ukianza thread inakuwa jumba bovu kwa vichapo mnavyopokeaa!!
 
Kuna dalili kuwa Di Matteo hatamaliza mkataba wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom