Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kwani wewe umeanza kuangalia mpira lini...drogba ame copy na ku paste komedi za barca nashangaa unamshangaa drogba...nyinyi wenye vilomolomo mtakuwa ni arsenal au manu(wake wa barcelona maana kila mkikutana nae mnapigwa bao za kutosha)...!

lakina asenane ajawahi poteza gemu uk na leo wakiwa ofisini embu cheki..
 

Attachments

  • barca.jpg
    barca.jpg
    20.5 KB · Views: 27
Best wishes the blues! Nitakuwa the billionaire pub cheering for you!!!
 
Mkuu punainen-red unajua nini barca wanajua tatizo huwa wanadrogba mpaka basi ndio maana alivyofanya drogba jana iliwauma hilo ndi linawaumiza kichwa kweli wacatalonya..
Unajua mkuu, siamini kuwa ni wewe uliyeandika tena hii hapa! Usijifanye kusahau wakati C. Ronaldo anajiangusha kwenye Premier League, usitudanganye kuwa wakati wachezaji wa B.Munich na R. Madrid wanajiangusha pale Allianz Arena haukuona! Mmekuwa mkitudanganya hapa kuwa Barça wanabebwa, ingefaa mtuambie kama Munich au Madrid walibebwa? Wachezaji wao wangapi waliadhibiwa kwa kuharibu flow ya mechi kwa kujiangusha kwao?! Na drogba je, Hebu kuweni wanaume kamili mseme..alibebwa??! Kwenye mechi za kwanza za semi-final ukiorodhesha timu zilizoongoza kwa ku-dive Barça itakuwa ya mwisho! Huo ndiyo ukweli na ukiondoa unazi utauona.
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe umeanza kuangalia mpira lini...drogba ame copy na ku paste komedi za barca nashangaa unamshangaa drogba...nyinyi wenye vilomolomo mtakuwa ni arsenal au manu(wake wa barcelona maana kila mkikutana nae mnapigwa bao za kutosha)...!
Haaahaaahaaaa! Umeridhika baada ya kutangaza kuwa mimi ni Ars8 au Man6...?!?! Ungekuwa siyo mshabiki mpiga kelele ungeshang'amua kuwa mashabiki wengi wa timu hizo ulizotaja wanaisuport Chel5 iifunge Barça! Hapa ungejaribu lingine badala ya kuanza ku-guess nani ni mshabiki wa timu gani. Drogba ni mchezaji mzuri, lkn tangu zamani anajulikana anapenda kujiangusha na kuwalalamikia marefa...hiyo ni sifa yake mojawapo, kwa hiyo msijaribu kuihamishia kwingine.
 
Style ile ya Mwanzo pale Stanford haikuwa mbaya sana, nadhani Tukiirudia leo tunaweza enda Munich cheza fainali
 
Unajua mkuu, siamini kuwa ni wewe uliyeandika tena hii hapa! Usijifanye kusahau wakati C. Ronaldo anajiangusha kwenye Premier League, usitudanganye kuwa wakati wachezaji wa B.Munich na R. Madrid wanajiangusha pale Alianze Arena haukuona! Mmekuwa mkitudanganya hapa kuwa Barça wanabebwa, ingefaa mtuambie kama Munich au Madrid walibebwa? Wachezaji wao wangapi waliadhibiwa kwa kuharibu flow ya mechi kwa kujiangusha kwao?! Na drogba je, Hebu kuweni wanaume kamili mseme..alibebwa??! Kwenye mechi za kwanza za semi-final ukiorodhesha timu zilizoongoza kwa ku-dive Barça itakuwa ya mwisho! Huo ndiyo ukweli na ukiondoa unazi utauona.

mkuu hawakudive kwa sababu walijaribu ikashindikana baada ya drog the bar kuwaonesha na yeye ni bingwa wakudive na kwa gemu ya leo nadhani wakianza tu kudive barca ujue kabisa imeshaaribika maana drog the bar atadive balaa kwanza inaonekana washapanic wasipo angalia yatakuwa mengine ngoja tuone..
 
i missed this forum...
duh hii wiki is jus too gud for me...i love chelsea!
thanks to di Matteo for bringing back our heroes..Malouda, Mikel, essien, Kalou et al..AVB alikua ameshatufanya tuamini they were gud for nothing...now ndio wanaotusaidia na hili wimbi la mechi nyingi within few days.
na hili nadhani ndilo linalotusaidia..wakijipanga jinsi ya kumtoka drogba anapangwa torres..na bado sturridge anabaki reserve...! this thing really confuses our ooponents...proof of this?? angalia game na arsenal j'mosi ...they cant predict our game!!!

.....hahaha, usijekimbia kijiwe! .....komaeni kama sie 'wakazi wa mabondeni' mafuriko kwake mtoni, yanapita tu....

Umewaacha wapi kina Peasant, masanilo, aljuniortz, ......? karibu tena,....
 
.....hahaha, usijekimbia kijiwe! .....komaeni kama sie 'wakazi wa mabondeni' mafuriko kwake mtoni, yanapita tu....

Umewaacha wapi kina Peasant, masanilo, aljuniortz, ......? karibu tena,....

hao wote after game ndio watakuja..
 
tupo bana mkuu..ni mtu ya maisha yanatubana...BUT AM ALWAYS BLUE! Peasant, Masanilo ebu njooni tusherehekee in advance..
Najua ushindi ni wetu!
 
Last edited by a moderator:
Nyie mashabiki wa Chelsea mtakapo zimwa leo ndo mtafunga midomo! Ila mpira ni dk 90 na za nyongeza juu.Nyie mnaotabiri acheni uongo.
 
Nyie mnaowachukia Barca mnajulikana timu zenu kama si Arsenal,Man,liver sijui, we unayetabiri umekuwa mganga wa kienyeji
 
How to DEFEAT Barcelona (My 6 points advice to Real Madrid)
1. Get close to them and force them to make errors
2. The keeper and the back four needs to be alert and at its best.
3. Force Barca to shoot from Outside.
4. Take advantage of Aerial weaknesses (corners, crosses and long balls)
5. Target Valdes (the error prone goalkeeper)
6. Keep Dani Alves Behind (Stop him from attacking)

Very easy but how could all this time other teams fails to implement these tactics?!!!!!!!!
 
Kwanza napenda kuwataarifu kiwa na mimi nina Dstv.
Mbili kwa walio na pesa kidogo kushindwa kununua premium package wanaweza kuuangalia mpira live channel 220 SELECT.
Kama haya yote unayajua endelea na maisha yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom