Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe bado hujajifunza huko korokoroni ulikoswekwå,.
Tutakurudisha ukikotoka,
.
Nani anayejua background yako? JF imekuwa mpaka hapa ilipofikia kwasababu hatujűani mzee, tungejuana humu ingekuwa hatari sna
Maana unaeza kuta uliyemjibu hivyo ni baba yako mzazi/kambo
Ukitoka hapa unasogea mezani kugönga msosi wa kengere uliönunuliwa na huyo unayemjibu kunya, .

Picha haihusiani na hayo maneno hapo juu, View attachment 1582354
backgraound zao hatuzijui, kama wako sawa (KIAKILI) wengine humu ni mateja, wengine gongo, wengine bangi, sifa zinaendelea. Sasa wewe unabishana na mtu kumbe ni wa calibre hiyo
 
Sasa ngoja arudi utatafuta kwa kujificha
 
Mbappe alienda kufanya majaribio Chelsea lakini management ikaamuru Mbappe arudie tena majaribio.

Mama yake Mbappe akasema "Mwanangu haji tena kurudia majaribio. Mchukueni sasa hivi au mtakuja kumnunua kwa 50M(EUR)"

Leo hii Mbappe ana thamani ya zaidi aliyoiwazia mama yake.
 
Wanachelsea wenzangu naona kama bado hatuna timu ya kuweza kushindania ubingwa bali tuna timu ya kupunguza gap la point 33 kwenda labda kwenye point 10-15, Pia ninaamini tukiweza kuwaondoa akina barkley, jourginho, alonso, emerson na wanaofanana na hao na tukiweza pia kuwafanya akina Mount, Odoi, Zouma, Christensen, Kepa kuwa SUB halafu tukaweza kusajili CB wawili, DM mmoja na Kipa world class hata kama Mendy atasajiliwa, basi baada ya hapo tunaweza kushindania ubingwa wa epl au uefa
Kwa usajili mkubwa kama huu wa zaidi ya paundi mil 220 haina maana ndio tunakuwa washindani wa kombe la ligi
Wenzetu sasa hivi wanaziba viraka vidogo vidogo na zinaonyesha impact baada ya kufanya usajili mkubwa wa zaidi ya paundi mil 300/400
mfano
Liverpool baada ya kufanya usajili mkubwa 2017, zilifuata sajili ndogo za kuziba viraka mojawapo ni ya VVD
Man city hivyo hivyo
Chelsea tulikuwa na matakataka mengi ndio kwanza tumeyaondoa msimu huu akina Batshuayi, Danny Drinkwater, Zapacosta, Bakayoko bado yamebaki yale matakataka madogomadogo
mfano kwanza tumuondoe KEPA, tumuondoe Alonso, tumuondoe Jorginho, tumuondoe Barkley, Tumuondoe RLC, tuwe na backup ya nguvu kila idara, tuwe na CB world class, tuwape muda wa kuzoea ligi akina Timmy, Havertz, Ziyech, tuwape muda wa kukomaa akina Tammy, Mount, Gilmour, Tomori, Reece James, hata Havertz
Kwa hili tunahitaji msimu mmoja au miwili ikichelewa sana mitatu ili tuwe washindani wa kweli, mguu kwa mguu, bega kwa bega, goli kwa goli, point kwa point, kichwa kwa kichwa na akina Liverpool, Man city, Bayern, Barca, Real Madrid kwenye makombe ya EPL na UEFA
Tusijidanganye kama akina Arse wao kwa vile wana Auba basi ni mabingwa tayari
Tupambanie haya makombe ya mbuzi, kufuzu kwenda UEFA championship hayo mengine yatajileta tukishaziba viraka vyote
Mungu ibariki The Blues
 
Mwandishi inaonyesha dhahiri kuwa unachuki dhidi ya Arsenal

Sasa hapo Auba kafata nini tena? Yani baada ya kukufunga fainali ndio unaona uanze kubeza kiwango chake.

Wewe endelea tu na ubishi wako.. Auba ameshasema huko, pale mlangoni kwenu awepo Kepa, Caballero au Mendy, yeye atazifumania tu nyavu zenu.

Nyie ze blauzi ni ovyo kabisa!
 
Hahaha spending lotta money on transfers since 2003 bado mtu anakuja kuandika komedi.
 
Mbappe alienda kufanya majaribio Chelsea lakini management ikaamuru Mbappe arudie tena majaribio.

Mama yake Mbappe akasema "Mwanangu haji tena kurudia majaribio. Mchukueni sasa hivi au mtakuja kumnunua kwa 50M(EUR)"

Leo hii Mbappe ana thamani ya zaidi aliyoiwazia mama yake.
Zlatan Ibramovic aliwahi kutakiwa na Wenger kwa majaribio akagoma kuja hata kwa majaribio akamwambia Wenger kama hawezi kumnunua basi asahau mambo ya majaribio.
 
City amekula msulubu mkubwa wa maana akiwa nyumbani kwake. Bayern naye kalamba lolo uko kwao.

Kesho J3 pia kuna kishokomzobe mmoja atachezea cha maana.
 
Ni jambo la kawaida sana kwa forwards kupitia hizo hali, kipindi kama hiki kilishawahi kumpataga Binga wa dunia CR 7 akiwa Real Madrid, tena yeye ilimtokea kwa mechi zaidi ya 5 mfululizo za La Liga. Timo Werner ni nani hasa hadi isimtokee? So kuweni wapole Arsenal Fans maana muda ni mwalimu sahihi kabisa.

Mashabik wa Arsenal wao wanajua kuwa ubora wa mchezaji unapimwa kwa kufunga.

Ni vizuri mukaangalia na movement ya mchezaji pia uwepo wake kwenye kikosi inawafanya wengine wafunge.

So soon naamini mtakimbia huzi huu
 
Mbona Kepa anaongoza kwa assist na bado tunasema hajui?

USITUSINGIZIE.
 
Eti tulivyopigwa! kumbe hata mechi hujatazama. Walikuwa wanachomekwa kisha wao ndo wanachomoa. Sio nyie lengo linahama toka kwenye ushindi mpaka draw.

Huo muda mbona wengine wamepewa na washaonyesha. Unataka apewe msimu mzima ndo apate hata assist?
Hata hivyo liverpool huu msimu itakuwa ya kawaida sana ..mlivyokipiga na Leeds ushindi ulichangiwa na penati mbili za Salah, ulivyokipiga na Chelsea ushindi ulichangiwa na Red card. Tunaona liverpool ikistruggle kwa kiasi chake kupata point tofauti na msimu uliopita.

Na kesho pia tutegemee kuna tukio kutokea ndio mpate point.

#CFC 💙💙💙
 
#CFC
Hata msimu ulopita maneno ni hayahaya... mwenzio kila mechi nimevuna points 3. We baki na maneno...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom