permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,430
- 15,221
All in all, kwa usajili uliofanywa na Chelsea wanapaswa kufanya vizuri zaidi katika mechi zijazo.
Mkuu haya ni maoni yako ila kwasisi tulioangalia mpira wala hututishi. Kilichotokea ni tumegawana vipindi sisi kipindi cha kwanza wao kipindi cha pili. Halafu regular starter kwenye kikosi walikua 6 tu Zouma, Jorginho, Kovacic, Mount, Werner na Azpi. Napo jorg na Azpi siku izi wanaanzia bench ila nimeona nikuwekee maana utabisha. Haya na Tot naye ameanza na regular starter wangapi? Kaanza na regular starter 7.
Mkuu kwenye penalty yoyote anaweza toka.