Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Emerson hauzwi tena
Change of plans
Emerson alikuwa akaunganike na Conte kule Inter lakini baada ya ugomvi wa Alonso na Lampard sasa inaelekea hatauzwa tena ili abaki kuwa backup ya Chilwell na badala yake Alonso atapigwa bei chapchap kabla dirisha halijafunga october
 
Ngariba Klopp alipita hapa week jana
Leo kaibukia London
Kisu cha ngariba hakiwezi lala bila damu
Malafyale vipi wale waliokuwa wakisema Klopp Out! bado wana maoni hayo hayo kwa sasa kwa sababu nakumbuka wewe ulikuwa na maoni ya kumpa Klopp muda wa kuijenga timu mpaka mkaunda Liverpool asili bali wenzako akina King Ngwaba wao walitaka matokeo ya haraka wakaanzisha movement ya Klopp Out!
 
Wakimbizi hawapo wakina Dully jr willy jr naona sasa mnauugulia maumivu misumari mitatu sio ya kitoto
 
Waelewane tu ili kuleta hali ya hewa nzuri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo....hatutaki mambo ya migomo baridi na virusi
Lampard ni mvumilivu mno ukiona imefikia hapo maana yake dirisha la Alonso kutokea Chelsea limeshafunguliwa, Emerson hatauzwa tena. Kambi iko salama, hata wachezaji wengine walikuwa na hasira kwa Alonso. Silva kaomba msamaha kwenye ukurasa wake wa Instagram. Kwa hiyo inaonyesha timu nzima iko responsible na hawataki masihara. Werner alishema amekasirishwa na matokeo. Hakuna mchezaji yeyote aliyependa alichokifanya Alonso. Kwa hiyo mkuu upoe tu mambo shwari kabisa darajani
 
Emerson hauzwi tena
Change of plans
Emerson alikuwa akaunganike na Conte kule Inter lakini baada ya ugomvi wa Alonso na Lampard sasa inaelekea hatauzwa tena ili abaki kuwa backup ya Chilwell na badala yake Alonso atapigwa bei chapchap kabla dirisha halijafunga october
Hiv issue ya Rudiger ipo vipi? Mbona hata kwenye sub hawekwi?
 
moto unawaka huko dressing room na sijui Alonso atauzima vipi huu moto

Frank Lampard vs Marcos Alonso :

“ Frank said while the squad showed spirit to come back, Marcos Alonso did not care “

“ Chelsea players said they’ve never seen Frank this angry "

“ Insiders say Alonso will be lucky to play for Chelsea again "
 
Lampard’s Conference for Spurs :

- Mendy and Chilwell fit and could start

- Ziyech and Pulisic STILL out

- Lampard annoyed with no Pre season to work on tactics etc.

- Lampard calls CHO a Huge talent but said “ Let’s see “ on his involvement this season.
 
Hiv issue ya Rudiger ipo vipi? Mbona hata kwenye sub hawekwi?
Ukiona mchezaji hata benchi hakai ni hatakiwi na kocha aidha wanaugomvi au hafundishiki!!. Kama Lampard akipush kumsajili Declan Rice basi Rudiger ni wa kuuzwa au kutolewa mkopo tu. Naona Brarca, PSG na Spurs wanamtaka
 
1601361416166.png
 
Sio jota tu hata Alcantara
Inaelekea ninyi hamfuatilii mpira na norms zake
Hii nimemjibu jamaa na nina paste tena hapa

----------------------------------------------------------------------------------
Jota katoka EPL sio ligi ya nje
Thiago Alcantara Liverpool walimrisk kuwahi kucheza sasa anasumbuliwa na fitness issue, Klopp mwenyewe kasema

Jürgen Klopp has explained Thiago Alcantara is likely to be sidelined until after the forthcoming international break.

The No.6 was ruled out of Monday night’s Premier League meeting with Arsenal due to a minor fitness issue.

Haya ni mambo ya kitaalamu na inahusisha wataalamu wengi msipende kuingilia fani isiyo yenu

Chilwell wa Chelsea alinunuliwa akiwa na injury na alihitaji kupona na kupata fitness
--------------------------------------------------------------------------------
 
Sawa baba, tumekuelewa ww mwenye fani yako
 
Bado tuna

Bado tuna mechi nyingi amna acha ya kuwahisha wachezaji ambao hawako vizuri ki mchezo; siyo kutoka nje ya professional kisa ufurahishe watu flani.
Naiona Chelsea ikiwa fit baada ya wachezaji wake kua vizuri.
Ila jmosi wachezaji walikua wazito balaa sijajua walikunywa nini aisee.
 
Ukiona mchezaji hata benchi hakai ni hatakiwi na kocha aidha wanaugomvi au hafundishiki!!. Kama Lampard akipush kumsajili Declan Rice basi Rudiger ni wa kuuzwa au kutolewa mkopo tu. Naona Brarca, PSG na Spurs wanamtaka
Hiv kwa hizi beki zetu tia maji maji Rudiger wa kuuzwa kweli? Hiv huyo Christensen amemzidi Nini Rudiger?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom