Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Sema mwanangu huyu Mendy ni bonge la kipa. Maana kuna saves anafanya mpaka unajiuliza alikua wapi wakati tunamsajili Keppa.Daaa mendy ameanza na changamoto ya penalties.
Sema mwanangu huyu Mendy ni bonge la kipa. Maana kuna saves anafanya mpaka unajiuliza alikua wapi wakati tunamsajili Keppa.Daaa mendy ameanza na changamoto ya penalties.
Hahaha tulia nyie walaga mlitak kumpig the special oneHuyu Mount kakosa nafasi ya wazi, kakosa na penati.
Dogo alizingua sana alikua kwenye chance nzuri kutoa pass akazingua.Huyu Mount kakosa nafasi ya wazi, kakosa na penati.
Mbona keshapigwa mara mbili kabla ya mechi ya leoHahaha tulia nyie walaga mlitak kumpig the special one
Sema yote tu ila Chelsea ndio imekurudisha baada ya kujipiga ban janaKifo ni kifo hata cha kijinyonga ni kifo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]
Aisee. Pole sana.Kwa mpira huu tunaowachezea spurs. Ni sawa na kuwabaka mchana kweupe [emoji2484][emoji2484]
Nenda kadake weweMendy hata penalty moja hajadaka
New Kepa in town
Wana TAKATAKA na wamesajili TAKATAKA ....Mendy hata penalty moja hajadaka
New Kepa in town
Nilijua leo utakuja. Angalia husije aibika[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu? Ubawo unasomekaje? [emoji1787]Aisee huu mpira anaochezewa morinyo sio poa View attachment 1584947
Ya jana yashapita tuna ya leo mapyaa[emoji23][emoji23][emoji23] kijana pata maji ya uvugu vugu naona bado una wenge la jana
Cheltk ni mavi mabichiHuyu Mount kakosa nafasi ya wazi, kakosa na penati.