Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Plastic Fan? Yani wewe hufikii hata nusu ya Ushabiki wangu.
Kama wewe ni mshabiki wa Chelsea basi nina uhakika ulitokea Arsenal au Manure.
Hahaha mi nashabikia Arsenal. Sasa mzee umebisha ukweli kwa kujigamba. Umeletewa ukweli unataka kuanza kujipimisha level za ushabiki. Kipimo cha uplastic ndiyo kama ukigeugeu uliouleta
 
Wewe ndugu unapenda kusema uongo eti hujawahi mvunjia heshima shabiki yoyote wa Chelsea na bado hapo hapo unafanya haya. Utasema ni utani ila kwa mwanaume kuwekwa kwenye kundi la wanawake ni dharau kubwa sana labda wewe unaweza kufurahia ila mimi umenikwaza.
Kwahiyo Kepa yupo humu? [emoji15]
 
Kaka heshima yako hii ndio dawa ya plastic fan kama hawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lembu mwenyewe ni shabiki wa plastiki timu ikifanya vizuri anaiita chelsea ila ikifanya vibaya anaiita cheltako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akibisha na mimi nakuja na ushahidi rundo.
 
Kama hizo posts ni zangu basi nakubaliana na kila ulichokileta huenda nimesahau kwasababu ni za zamani.
Nakubali matokea na samahani kwa kukubishia.

Nahitaji msaada: Nifundishe namna ya kuzitafuta ili nifute kauli yangu.

Kufuta kauli kwa kosa ulilolifanya ni sehemu ya Uungwana.
Nili screenshot makusudi kwa kuwa nilijua ukijua ziko wapi utaenda kufuta. Haitakiwi ifutwe ili uongo wako udumu na ujirekebishe kuropoka na kusahau
 
Jamani makundi ya UCL tayari naona tumepata mtelezo tena Huku manyumbu akipata majanga.
 
Wakuu funikeni kombe, nawaalika pale anfield naenda kuchinja mtu
 
IMG-20201001-WA0004.jpg
 
Inaelekea ninyi hamfuatilii mpira na norms zake
Hii nimemjibu jamaa na nina paste tena hapa

----------------------------------------------------------------------------------
Jota katoka EPL sio ligi ya nje
Thiago Alcantara Liverpool walimrisk kuwahi kucheza sasa anasumbuliwa na fitness issue, Klopp mwenyewe kasema

Jürgen Klopp has explained Thiago Alcantara is likely to be sidelined until after the forthcoming international break.

The No.6 was ruled out of Monday night’s Premier League meeting with Arsenal due to a minor fitness issue.

Haya ni mambo ya kitaalamu na inahusisha wataalamu wengi msipende kuingilia fani isiyo yenu

Chilwell wa Chelsea alinunuliwa akiwa na injury na alihitaji kupona na kupata fitness
--------------------------------------------------------------------------------
Acha uongo wewe Alcantara anasumbuliwa na corona sio fitness issues kama ulivyoandika, hii tabia ya kujidai mnajua kilakitu ndio inawaumbua
 
Angekuwa kepa ndio yupo golini liver tungekuwa tunaongoza 4 kwa bila, chelsea mnunueni lena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom