Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Wewe Chelsea imeshakuvuruga kabisa, Na hapo bado itakuvuruga mpaka utembee uchi.Ngoja tukapendeze nyie basi maana kama vile mnamuonea wivu
Wewe Chelsea imeshakuvuruga kabisa, Na hapo bado itakuvuruga mpaka utembee uchi.Ngoja tukapendeze nyie basi maana kama vile mnamuonea wivu
Mke wa lampard hy n tako au punje ya ufuta.?
Watu mna maneno khaaaMke wa lampard hy n tako au punje ya ufuta.?

Wewe Chelsea imeshakuvuruga kabisa, Na hapo bado itakuvuruga mpaka utembee uchi.
KudadadekiI told you mnapigaga sana pasi mwisho wa siku mnapigwaHuyu Mount kakosa nafasi ya wazi, kakosa na penati.





Una lana ya babu yako ww juzi ww liva amekufanya nn kanga maji ww cha domo ww
Hapa unamaanisha nini mkuu?Hahaha London is led wazee
Mkuu haya ni maoni yako ila kwasisi tulioangalia mpira wala hututishi. Kilichotokea ni tumegawana vipindi sisi kipindi cha kwanza wao kipindi cha pili. Halafu regular starter kwenye kikosi walikua 6 tu Zouma, Jorginho, Kovacic, Mount, Werner na Azpi. Napo jorg na Azpi siku izi wanaanzia bench ila nimeona nikuwekee maana utabisha. Haya na Tot naye ameanza na regular starter wangapi? Kaanza na regular starter 7.Waliipiga Barnsley nikawaambia Barnsley siyo kipimo wakabisha.
Leo katika hii gemu wamechezesha wachezaji 9 regulars katika ligi.
Na bado ikabidi waingie penati.
Mi naona hii timu ina wachezaji wazuri ila kuelewana na kuzoeana ni shida pia haina mchezaji anayeweza kuamua kupush wengine kutafuta matokeo.
Lampard aliahidi kikombe msimu huu.
Hiki ni cha kwanza amekitema.
Kabakisha FA, Ligi na UEFA.
Kwa ukweli wangu wote naamini Ligi na UEFA hatoboi so kabakisha FA.
Tusubiri na kuona.
Hapa unamaanisha nini mkuu?

nilitaka kumuuliza lakini nikaona nitamvuruga zaidiWewe Chelsea imeshakuvuruga kabisa, Na hapo bado itakuvuruga mpaka utembee uchi.

nimefungwa mimi bado utukane wewe. Ushapanick


Huwezi amini Lembu kwa sasa hao jamaa ndiyo eti wanaipenda Liverpool kuliko mimi!Malafyale vipi wale waliokuwa wakisema Klopp Out! bado wana maoni hayo hayo kwa sasa kwa sababu nakumbuka wewe ulikuwa na maoni ya kumpa Klopp muda wa kuijenga timu mpaka mkaunda Liverpool asili bali wenzako akina King Ngwaba wao walitaka matokeo ya haraka wakaanzisha movement ya Klopp Out!
Kwani Mendy Ni mbaya?Huwezi amini Lembu kwa sasa hao jamaa ndiyo eti wanaipenda Liverpool kuliko mimi!
Daah leo naona tena mambo sio mazuri eehhhh
Nunua kipa Oblak uwe sawa golini
Kipa mzuri, tuna mabeki wasiojua kufanya marking, Emerson angemfanyia marking Lamela lile goli asingefunga. Emerson ni style ya akina Alonso, wale waleHuwezi amini Lembu kwa sasa hao jamaa ndiyo eti wanaipenda Liverpool kuliko mimi!
Daah leo naona tena mambo sio mazuri eehhhh
Nunua kipa Oblak uwe sawa golini
Kaka unahitaji well established golie kama Oblak au DonorummaKwani Mendy Ni mbaya?
Emerson kafanya kosa kama lile lile la Alonso tulipofungwa goli la tatu na West BroKwani Mendy Ni mbaya?