juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tumecheza hivi leo tofauti iliyokuwepo ni uwepo wa christensen na alonsoLineup ya leo, formation 4-2-3-1
View attachment 1581157
Tumecheza hivi leo tofauti iliyokuwepo ni uwepo wa christensen na alonsoLineup ya leo, formation 4-2-3-1
View attachment 1581157
Waambie hii sio sehemu ya walevi.Hatutaki matusi
Kwa first halfKilipangwa vibaya
Tammy angekuwa striker wa pekee na Werner acheze kushoto, Havertz kati
Kwendraaaa[emoji1787][emoji23][emoji23]hakuna timu hapaVinyangaramafuta wenzenu washatafuta njia ya kutokea mmebaki nyie mnahanya hanya tu. Hebu tafute njia bhana mnatubana bana
Cash Money Forever Usifanye hivyo subiri Ziyech na Pulisic wapone kabisaSIKU LAMPARD AKIFUKUZWA UKOCHA CHELSEA NITARUDI TENA HAPA KUWAJOIN WADAU KWA KUCHANGIA/KUJADILI MADA NA COMMENTS N.K.
KILALAHERI THE BLUES MSIMU 2020/2021.
duuuh ..Hawatoamini ila Chelsea ndiye bingwa msimu huu.
Unaonekana wewe malezi yako hayakuwa mazuri utotoni,acha kutukanatukana hovyo jifunze ustarabu,humu wengine nisawa na wazazi wako japo hatufahamiani.CHELTAKO KAMA CHELTAKOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ILA KUMBE UKISAJILI UNAKUWA NA MWINGI SANA KAMA WA CHELTAKO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. MAN UTD CHANGAMKENI NA NYIE MUWE KAMA CHELTAKO
I LOVE THIS GAME
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenge hahahaaaaa wachezajı kenge washabiki kenge[emoji2][emoji2]kuanzia sasa Alonso akipangwa sitapoteza muda wangu kuangalia mpira.
Wengine wanaonekana hawajui kucheza kwa sababu ya kenge mmoja tu
Unafurahia sare [emoji23][emoji23]Huyu Kai Haverts ni balaa na nusu.
[emoji23] [emoji23] Mnabembelezana kama mko wodini kudadadeki,Cash Money Forever Usifanye hivyo subiri Ziyech na Pulisic wapone kabisa
UtoChelsea na yanga wote mnatafuta muunganiko [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sijui wapi inaserma kweli, media zinaripoti formation tofautiKwa first half
Werner leo alikuwa anatokea kushoto
Mount akawa anatokea kulia
Havertz akawa anatokea kati
Na mbele tammy ndio akawa kama no 9
Jiamini mzee ..acha kukimbia kimbia.SIKU LAMPARD AKIFUKUZWA UKOCHA CHELSEA NITARUDI TENA HAPA KUWAJOIN WADAU KWA KUCHANGIA/KUJADILI MADA NA COMMENTS N.K.
KILALAHERI THE BLUES MSIMU 2020/2021.
Tulia wewe noma yako jumatatuOllachuga TAKATAKA ZAKO ZINATIWA HUKU