John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Leo kai yupo vzuri....c nyinyi mlisema flopHili goli la tatu la kusawazisha la Chelsea Kai anaonekana alishika mpira ila imeonekana siyo faulo.
Lakini hakuonyesha juhudi za kuukwepa mpira.
Southern Highland Tammy anaprove kua useful kuliko Werner as I pointed out earlier.
Na bado nilikua sahihi nilivyosema ushindi wa 6 hauna maana yoyote kwakua timu mliyokutana nayo haina hadhi.
Either way Kai ni Kante mwenye skills, yuko vizuri. Alonso hamna kitu. James anapiga mitungi hatari, Thiago ni liability, Caballero ni Kepa now tuangalie yajayo.
