nasemakweli
Member
- Nov 29, 2018
- 50
- 74
Alvaro Morata, mchezaji mwenye bahati
Alinunuliwa Chelsea mil 74 akauzwa mil 58 akaipa Chelsea hasara ya mil 26
Alitoka AM na bado AM wakamnunua kwa pesa nyingi kutoka Chelsea
Alitoka Juventus na hakucheza vizuri sana lakini amerudi tena Juve na wakamkubali kumchukua wakijua aliflop huko
Huyu huyu Morata akirudi Chelsea wanaweza kumnunua tena
Akirudi Real Madrid wanaweza wakamnunua tena
Alvaro Morato World Floper na bado anauzwa bei kubwa