Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
HAKUNA KOCHA PALE BALI NI MSIMAMIZI MKUU TU WA MAZOEZI YA WACHEZAJILampard hafai full stop
HAKUNA KOCHA PALE BALI NI MSIMAMIZI MKUU TU WA MAZOEZI YA WACHEZAJILampard hafai full stop
Timo Werner ndiye Didie Drogba ajaye kwa siku za usoni pale Chelsea, tulia tu wamuelewe na kumpatia pass assists za maana ndipo utajua Werner m1 ni = T.Abraham wa5Unafurahia sare [emoji23][emoji23]
Werner tumepigwa game 3 no assist wala goli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Takataka zinakimbiza watu kudddadekiiiiii[emoji2187][emoji2187][emoji2187]sJiamini mzee ..acha kukimbia kimbia.
Bosi Chelsea itoe kabisa kwa mwaka huu labda mwakani maana Lampard hajielewi kabisa kama muda wowote anatemwa kibarua asipoijenga Chelsea vizuri kiushindaniKesho Man City watacheza na Leicester, kuna uwezekano tukapata jibu kama ligi itaendelea kuwa ya Man City vs Liverpool msimu huu.
Chelsea na Man Utd bado sijaona kama ni contenders kwa vikosi vyao na makocha walionao.
Cheltyako ukiwa unaongea nao uwe makiniiBasi nimewajumuisha na ndugu zako wa arse8....ila kama umeliona hilo gud sikupingi
Hivi wale timu Bruno washaanza tena wimbi la penati bila penati hawashindi kabisa kama msimu uliopita?Eti chelsea walikuwa wanatoka uwanjan wakawa wannaangalia nyuma walijua na wao wataitwa wapige Penalty kama Man u
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mapema mno nduguKesho Man City watacheza na Leicester, kuna uwezekano tukapata jibu kama ligi itaendelea kuwa ya Man City vs Liverpool msimu huu.
Chelsea na Man Utd bado sijaona kama ni contenders kwa vikosi vyao na makocha walionao.
Namimi nina swali kwenu ikitokea Mendy ni version mpya ya Neuer au Oblak mtajisikiaje?Chelsea Nina swali kwenu ,ikitokea mkakuta yule Mendy ni Version mpya ya Kepa na Caballero , mtafanyaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] daah watu huwa wanajua utani sana. Eti you have more emojis than clean sheets.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1581912View attachment 1581913View attachment 1581914