Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kuanzia sasa Alonso akipangwa sitapoteza muda wangu kuangalia mpira.
Wengine wanaonekana hawajui kucheza kwa sababu ya kenge mmoja tu
 
Vikos vya kwenye on paper na kwenye Ground huwa ni tofauti sana
Sasa hivi mpira unachezwa sana na makocha kuliko wachezaji

Unaweza kuwa na wachezaji wazuri kama Emery , na bado timu ya mkiani ikakubonda na possession juu ,

Leo Graham Potter kamfundisha Soka Ole guna

Lampard tumpe muda. , kwanza
 
Kichwa kishajaa mimoshi.
2528680_1600949496007.jpg
 
Lampard kilaza kama vilaza wengine tofaut yeye n mzungu

Ila msimu huu hakuna rangi mtaacha kuiona
 
Muda n mwl mzuri nimeamin wakati mnasajiri watu tulikosa usingizi hii ndio inaitwa msuli TEMBO tokeo SISIMIZI
Kuna vikos vya kwenye on paper na ground ni tofauti kabisa

mm nilikuwa siamini , niliamini kwa emery, Una Auba ,laca,pepe, Ceballos, Xhaka, toreira , Leno, Bellerin ,KT, luiz ,

Unawaogopa Watford

Hivo sitishiki na usajiri kama huna tactics za kueleweka

Graham potter kamu outsmart Ole guna kuwa pamoja na kina pogba , magwaya wa 80, Bruno. ,kwenye tactic ni mweupe sana
 
Vichaa fc leo nalala hapa, lazima mtuambie tabia ya kugongwa na watoto wadogo mmeanza lini???
 
kuanzia sasa Alonso akipangwa sitapoteza muda wangu kuangalia mpira.
Wengine wanaonekana hawajui kucheza kwa sababu ya kenge mmoja tu
Mkuuu lembu hapo tatzo hyo alonso plzzz shida ipo kwa kocha kwan wachezaji wanashida gan??? Ben shida nn? Alisema kwenye press pulisc na zych wako fin azplicueta unamuweka bench kwen KWA HERUFI KUBWA KOCHA PALE HAKUN THEN HAJUI HATA KUPANGA KIKOS MIE CJAWAH ONA KOCHA WA KINGEREZA AKAFANYA VZR ZAID YA FERG BAS
 
Kuna vikos vya kwenye on paper na ground ni tofauti kabisa

mm nilikuwa siamini , niliamini kwa emery, Una Auba ,laca,pepe, Ceballos, Xhaka, toreira , Leno, Bellerin ,KT, luiz ,

Unawaogopa Watford

Hivo sitishiki na usajiri kama huna tactics za kueleweka

Graham potter kamu outsmart Ole guna kuwa pamoja na kina pogba , magwaya wa 80, Bruno. ,kwenye tactic ni mweupe sana
Sometime morali ni tiba tosha kuliko technic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom